TCU: Vipi kuhusu majibu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU: Vipi kuhusu majibu?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Emma Lukosi, Sep 16, 2010.

 1. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #1
  Sep 16, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Jamani kama mtakumbuka hivi karibuni wanafunzi walio maliza kidato cha sita wali apply kupitia central admission system, vipi majibu mbona yanachelewa?.
   
 2. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  TCU wamechemsha na kufulia kwa hili, hata wenyewe full kujichanganya.
   
 3. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwani wewe una haraka gani!? Weekend hii majibu yanatolewa. Sikilizia vyombo vya habari by saturday. Kila la kheri
   
 4. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Na sisi wa equevalent? Au wakitoa tcu ndipo vyuo husika watarelease?
   
 5. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #5
  Sep 18, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nisikilize chombo gani?. Mi ninashauku kea sababau nayategemea sana hayo majibu cja apply kokote pale zaidi yao. @ kanyafu, Je na wewe ni mdau?
   
 6. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2010
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  TCU wanachuja majina ila kupata wale wenye sifa za kusoma vyuo vikuu, halafu majina yanayokuwa na sifa hupelekwa kwenye vyuo husika ambako muombaji aliomba, hivyo vyuo vitachagua wanao wataka kulingana na uwezo wa vyuo na qualification miongoni mwa wale waliochujwa toka TCU. kwahiyo tarajia kupata majibu toka kweye vyuo ulivyoomba. ukweli ni kuwa uliomba kweye vyuo ila ulipitia TCU. TCU kazi yao ni kuhakikisha vyuo vinafanya kazi kwa kuzingatia ubora. ktk kutekeleza hilo, moja ya kazi za TCU ni kuhakikisha vyuo vinachukua watu walio na sifa za kusoma vyuoni. kuna vyuo vingeweza kusajili watu ambao hata hawana minimum qulifications, hilo huzuiwa na mkono wa TCU
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  subiri kwanza 'wanachakachua' majina kabla ya kutoka..........stay tuned!!
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  TCU wamejaa usanii tuu na am sure kwa sasa wako busy na uchakachuaji wa majina.
  Bse kwa website yao wameandika majibu mid sept na leo ni 18 sept wapi na wapi?
   
 9. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #9
  Sep 18, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  neno lenye msari mwekundu mbona sijakuelewa? :confused2:
   
 10. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #10
  Sep 18, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Baada ya TCU kupeleka hayo majina yenye sifa huko vyuoni na vyuo kuchagua wanaowataka, then hao wasio takiwa na hivyo vyuo inakuaje??!
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Subirini hadi uchaguzi uishe. Nadhani hawapendi kuwambia hilo.
  Msisahau kumchagua kamanda Dr WPSlaa
   
 12. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Kwani mtu akituma maombi ya kozi flani chuoni akikataliwa kwa kukosa qualifications inakuwaje? SOMA KWA BIDII!
   
 13. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #13
  Sep 19, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ukiufungua Moyo Wangu ni, Dr Slaa Mtupu.
   
 14. S

  Safre JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Aliyepata mliman udom ifm na iaa jamen
   
 15. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  TCU wameanza kupost majina ya wanafunzi waliochaguliwa kwenda kwenye baadhi ya vyuo. Wamenza na vyuo 10. Tatizo ni kwamba website yao ni ngumu kui-access. Nadhani kwa sababu ya traffic kubwa haifunguki. Sasa kwa nini na vyuo husika visipost hayo majina wakati huo huo ili kuzuia kila mtu kukimbilia website ya TCU? Wangetoa hayo matokeo hata kwa taasisi zingine kama Wizara ya Elimu, Baraza la Mitihani na hata Loan Board nao waweke ili iwe rahisi watu kupata matokeo yao mapema. Hata kama ili zoezi ni mara yake ya kwanza TCU has been very inefficient. Inatia shaka kama wao wanafanya kazi nzuri zaidi kuliko vyuo vyenyewe.

  Halafu huu mfumo wa kumchagulia mtu chuo na course bila kuzingatia utashi (choice) yake kweli ni haki? Nahisi matokeo yake yanaweza kuwa DISCO nyingi huko mbele ya safari.
   
Loading...