Hivi DR ya kikwete ni ya nini vile?

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Wajameni naweza kuwa nilipitwa kidogo na post kuhusu edu ya Kikwete au dr yake ni ya nini?Kila leo watu wanasema khs ya Slaa ambayo mie naiheshimu sana maaana Theology si mchezo ina kila kitu...samahanini kama kuna post kuhusu dr ya Jakaya Kikwete ambayo sijaiona...
Ijumaa njema mwana wane
 
alitunukiwa na chuo kikuu cha kenyatta, kwa ujasiri wake wa kusuluhisha ugonvi wa kibaki na oginga 2008. chuo kikuu cha kenyatta hakimjui koffi anan wala wasaidizi wake mkapa na gracia .

macinkus
 
Hii post ilishajibiwa.Angalia archive.Anayo PhD nyingine ya International Relations toka Chuo Kikuu cha Fatih huko Uturuki.
 
honoris causa - a degree conferred to honor the recipient. Tatizo Chuo kilichotoa kinaweza kukunyanganya wakitaka. Muulize Mugabe
 
Some replies are just ironic!!Lol!Hivi hakuna mtu katika ukanda huu wa Africa asiyejua diplomatic skills na history ya JK katika diplomacy????!!Tuache unafiki.
 
Jamani wakuu wote wa nchi wana honorary PhD tena siyo moja na siyo tu ya nchi hizi zinazoendelea kama Turkey au Kenya .. lakini katika itifaki hawaitumii kwani inayotambulika ni ile uliyoisotea... ukiitumia honorary unaonekana kujaribu kung'arisha CV kinyume cha achievements zako. Hiyo ya Kenya ndo mnaiona ya maana, na mnathubutu kusema eti hakupewa Annan na MKapa, kwani wao wanashida na PhD za kuremba CV kama JK wenu? Ala!!!
Kuna vitu vya kujivunia lakini siyo honorary PhD.. mwambieni kwanza JK apate hata hako ka Masters anagalau.. bwaaahahahaa!
 
wewe ndo mwenye shida ya masters, JK masters ya nini? itamsaidia nini kwa sasa? Hao maprofessors wenyewe wanatumwa na JK, au wewe unaishi nchi gani mwenzao? Wadhifa wake tu ni beyond PhD. So for JK have nothing to attain more including education status so as to achieve anything. Look
 
Kinyesi, as usual, sasa kama hana shida nayo kwanini anajiita Dr.

Nyie na akina Prof. Manyaunyau wote kundi moja tu....
 
duh,makubwa haya sasa kumbe hata masters mkulu hana?kumbe tunaweza kuruka hata toka primary to professors kama tukiwa Ma kikwetez?.....je,na hiyo ya huko ururuki alifanya hata thesis yake au tu kama ya Kenya?mbona watu kibao wanamuongelea Dr Slaa kwa Phd yake aloisotea?

Mwanawane mashikolo mageni
 
Nafikiri hapa tunachanganya,Udaktari wa kikwete ani wa heshima tu,amepewa kutokana na mchango wake katika masuala ya diplomasia,nadhani si lazima awe na masters ili aonekane amesoma,je umefuatilia alisoma nini digrii ya kwanza?
 
wewe ndo mwenye shida ya masters, JK masters ya nini? itamsaidia nini kwa sasa? Hao maprofessors wenyewe wanatumwa na JK, au wewe unaishi nchi gani mwenzao? Wadhifa wake tu ni beyond PhD. So for JK have nothing to attain more including education status so as to achieve anything. Look

Hapo kwenye red, tusirahisishe mambo sana kwenye suala la elimu na hasa ya juu. Pamoja na kwamba sishabikii huu mjadala wa JK ana PHD in what au ya nini... nadhani mwenzetu huwezi kusema ati kwa vile hao maprofessors wanatumwa na JK basi academic credentials hazina maana.Im sure ukiacha nafasi za kisiasa ambazo hata mwenye darasa la saba anaweza kuangukiwa na bahati ya mtende ( Bibi Titi alipata kuwa naibu waziri ilhali elimu yake ilikuwa darasa la nne tu!), kazi za kitaalam zote zinahitaji vyeti ndugu yangu.Dunia ya sasa degree ya kwanza si lolote unahitaji kuongezea na za ziada ( Post gradute - Masters na hata PhD).Kwenye siasa ukiwa na PhD ni kitu chema lakini siyo lazima.
 
I'm totally agree with WomanOfSubstance, academic credentials play major roll,
that's why general secretaries for ministries are employed basing on their
academic background and not anything else. President irrespective of his/her academic
status always asks advice from academicians including professors.
Things like Good governance could result those rewards like PhD etc which are always offered by academic institutions.
However these are just honorary rewards which can be withdrawn at any time by reason.

future is bright, keep what you have now
 
Jamani hamkuona tarifa ya habari kenya kulikuwa na clip niliona kwenye wall y azito kabwe hicho chuo kilichopo kenya ambacho kilimpa jk phd ni bogus college style zile za richmond na vyombo vya habari kenya walisema ni chuo cha wajanja flani kutoka usa ambao wana target african leaders kwa kuwauzia doctorate na baada ya kuanikwa wazi they change the name and said kuwa wao ni charity organization, kitu cha ajabu hata marekana hakitambuliki yaani ni typical richmond style, kwa kifupi jk kanunua doctarate kwenye chuo cha kitapeli! Tafuta clip kwenye wall ya zito kabwe ya face book, nikipata hiyo clip nitawarushia wadau
 
Nafikiri hapa tunachanganya,Udaktari wa kikwete ani wa heshima tu,amepewa kutokana na mchango wake katika masuala ya diplomasia,nadhani si lazima awe na masters ili aonekane amesoma,je umefuatilia alisoma nini digrii ya kwanza?

kama ni hivyo mbona siku hizi kila wakitaka kuandika jina lake kale ka prefix au mnakaitaje vile kanaanza dr Kikwete?hasa huyu Michuzi ndo anapenda sana hayo mambo...jamani Dr isichezewe hivi hivi tu jamani...
 
alitunukiwa na chuo kikuu cha kenyatta, kwa ujasiri wake wa kusuluhisha ugonvi wa kibaki na oginga 2008. chuo kikuu cha kenyatta hakimjui koffi anan wala wasaidizi wake mkapa na gracia .

macinkus

Basi anyanganywe maana hao jamaa uliowataja hapo juu, ugomvi uko likizo tu na haujaisha.
 
kama ni hivyo mbona siku hizi kila wakitaka kuandika jina lake kale ka prefix au mnakaitaje vile kanaanza dr Kikwete?hasa huyu Michuzi ndo anapenda sana hayo mambo...jamani Dr isichezewe hivi hivi tu jamani...
sawa Dr.Magulumangu
 
Back
Top Bottom