University Courses/Lectures - ONLINE

SN_VijanaFM

Member
Mar 25, 2010
58
0
Habari za leo wana JF wenzangu. Poleni na hekaheka za kampeni za Uchaguzi.

Tumeweka links za tovuti ambazo zinaweza kuwasaidia wanafunzi wa vyuo kwenye blog/tovuti yetu:

Education (See Virtual Learning)

Tovuti ninazozipendekeza baada ya kuperuzi ni kama ifuatavyo:

1. MIT Lecture Videolog - hizi zinarekodiwa wakati maprofesa wakifundisha na kuna lectures za kuanzia mwaka wa kwanza hadi graduate level; advanced math/physics courses, electronics, civil engineering.. na nyingine chungu mzima!

2. Khan Academy - Khan ni kijana kutoka India ambaye amejitolea kutoa darasa kwa watu dunia nzima! Huyu anafundisha KILA KITU; kuanzia high school hadi chuoni -- Economics, Math, Physics, Electrical Engineering etc.

Tafadhali, ingekuwa vizuri tukisaidiana kusambaza hizi resources kwa wadogo zetu, ndugu, jamaa na marafiki.
 
Wasomi wengi wako kwenye jukwaa la si hasa na uchaguzi. Hii kitu ya muhimu hakuna anaye mind kuisoma hadi tarehe 1.11
 
Back
Top Bottom