University of Bagamoyo

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Nipo naangalia This week in perspective TBC1. Miongoni mwa washiriki ni Dr Sengondo Mvungi ambaye amejitambulisha na ametambulishwa kuwa anatoka UNIVERSITY OF BAGAMOYO. Inawezekana kikawa ni chuo kikuu kipya maana siku hizi vyuo vikuu vinaibuka kama uyoga. Anaekijua vema chuo hiki atujulishe na kama website ya chuo ipo aiweke jukwaani. Kimeanza lini na kina faculties ngapi na zipi? Je, ni chuo cha Umma au ni cha Binafsi?
 
Cheki hii link

http://www.humanrights.or.tz/wp-content/uploads/2010/11/UB-Prospectus-_Oct-2010.pdf
 
This University has a potential. I can see all the names are from UDSM. It seems these folks are serious and if they are true to their word wasichanganye siasa na elimu..definitely they are in for a long shot.

I wish them well as they contribute to the nation.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom