Mafunzo ya uhasibu (cpa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafunzo ya uhasibu (cpa)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by UPOPO, Jan 7, 2011.

 1. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,117
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 180
  Naomba mnijulishe sehemu zenye waalimu wazuri
  Wanafundisha masomo ya uhasibu kwenye level
  Ya module E na F.Hasa siku za weekends
   
 2. Ikimita

  Ikimita JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 302
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  APT financial consultants
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,749
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ukijua naomba unifahamishe na mimi.
   
 4. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,117
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 180
  Asante,wanapatikana wapi hapa Dar!
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,175
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Wasiliana na huyu jamaa anaitwa Hope Mkaro namba yake ni 0713 - 499621 yupo Dar. Huyo ni teacher ni kifaa kama Msasila, alikuwa center ya Arusha ya Msasila sasa yupo Dsn ni noma. Kila la kheri katika safari ya Cpa.
   
Loading...