vijana wa UDOM waliwafundisha polisi kazi yao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vijana wa UDOM waliwafundisha polisi kazi yao!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kweleakwelea, Jan 13, 2011.

 1. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  hapo majuzi vijana wa UDOM waliandamana wakiwa na nia ya kuelekea ofisini kwa mizengo pinda aka mtoto wa mkulima kufikisha kilio chao kwake.

  wakiwa njiani pale makulu walikutana na FFU ambao walitumia mabomu ya machozi kuiwatawanya. baadae vijana hawa walivunja kundi na kutumia ile mbinu waliyoitumia CUF dar - kuvunja kundi katika vikundi vya watu watano hadi saba na wengine kupituia njia za porini na hadi kukusanyika tena pale nyerere square kama walivyokubaliana!

  polisi walistuka kuona tena wamekusanyika katikati ya mji wa dodoma. kama inzi wanavyofuata mavi wakawafuata tena wakiwa na lengo la kuwatisha! vijana hawa wakiwa ndani ya mraba wa nyerere waliwatangazia polisi kuwa wakuiwafuata tu basi sanamu la nyerer lingelamba mchanga - wangeliangusha! polisi wakafyata mkia na kubaki nje. cha maana wakachora mstari ambao waliwatangazia wanafunzi kutouvuka kuelekea ofisini kwa pinda......

  vijana baada ya kuona quora imekamilika, bila kujakli mstari waliochorewa wakaanza kuandamana kuelekea ofisini kwa pinda! polisi waliopoona vijana wamevuka mstari wakatia akili na kugundua kuwa kinachotakiwa ni kuongoza maandamano. gari la polisi likatangulia mbele na lingine likafuata nyuma kuwasindikiza hadi ofisini kwa waziri mkuu! walipofika ofisini pale walipokewa na afisa wa ofisi ambaye aliwapokea na kuwasikiliza!

  ninaamini kabiosa ustaarabu huu uliotumika hapa mwisho ni busara ya kamanda Zelothe Stephen. tunaomba na polisi wa maeneo mengine waige mfano huu... kasoro ni pale mwanzo walipopiga wanafunzi na mabomu!

  naendelea kuwaombea vijana wetu msamaha kwa tukio la kupiga waandishi. tunaomba nao wajitahidi kukua maana kitendo hiko hakikuwa cha busara hata kidogo. kupiga waandishi kwa kiasi kikubwa kulipelekea coverage ya habari kutokuwa full.

  ANGALIZO PIA NI KUWA VYOMBO VYA HABARI VIMEKUWA VIKIMINYA SANA FULL COVERAGE YA ISHU....SIJUI HII ITAFANYWAJE KUREKEBISHIKA! - MFANO NI HABARI YA ARUSHA TULIPOZIKA MASHUJAA WETU.


  aluta kontinummmm!!!!!
   
 2. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  mnachotakiwa kufanya ni kudenounce mahusiano na ccm moja kwa moja. Udom imeuwa ikitumiw ana ccm kama moja ya mataiw yake na hiyo ndio shukrani ya ccm. Msifikiri watanzania wanaoipinga leo hawakuwa wanaccm lakini ccm ya leo ni ya kundi dogo sana ambao ninyi huko dodoma hampo. Hivyo kutokea lkeo haki zenu hatazipata kwa kuzipigania na sio kuletewa katika kisahanai cha chai kama mlivyofikiri itakuwa kwa kuishabikia ccm
   
Loading...