Wanachuo tumaini university wagoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachuo tumaini university wagoma

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Lapton2005, Jan 10, 2011.

 1. L

  Lapton2005 Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanachuo kozi ya art wi education wamegoma kwa kukosa mikopo kupitia tcu. Kwa madai kwamba kozi haitambuliki kisheria "kama hamtaki kusoma acheni" hii ni kauli ya prof mmoja mkuu wa chuo hicho. Ikiwa walimu hawatambuliki namna hii, elimu bora itatoka wapi? Nawasilisha.
   
 2. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kazeni buti. Ndo maisha ya Bongo...KAMA HAKUNA KUGOMA, HAMPATI HAKI YENU...
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Na sekondari za kata zina upungufu mkubwa wa walimu!
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wakipeleke chuo mahakamani kwa utapeli.
   
 5. Tekelinalokujia

  Tekelinalokujia JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naona hii second term ya JK ni ya migomo, itafikia mgomo mkubwa wa mwisho wananchi watamgomea raisi wao ndio itakua ze end ya movie hii.
   
 6. S

  Simeon Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  haha haaaa!kweli duniani kuna mambo,TUMAINI wamegoma?
   
Loading...