wanafunzi wa UDOM,wa college of humanities and social science wako kwenye kikao,NOW

kumbuka lecturers still wako kwenye "extending meeting",so Leonard Singo,the president; amewataka wanafunzi wawe na subra,wakisubiri utatuzi wa madai ya lecturers,kesho makatibu wa wizara 2 tofauti,probably finance n education,together with CAG,watakuja UDOM na kufanya ukaguzi,n then on saturday Mr. Pinda atakuja na kukabidhiwa report,also atafanya meeting na UDOSO,UDOMASA n the management,Hopefully starting on monday everything will get back to normal...saying the source:a UDOM student.
 
aiseee,kuna rafiki yangu mmoja anasoma information system hapo,mwaka wa tatu!
Anadai kwamba kama ni mgomo malecturer wameanza zamani maana kuna masomo (week ya tisa sasa) wamefundishwa lecture 2,3 na walo fundishwa sana ni lecture 5!

Haya,ngoja tungoje wataalam wetu kwa mtindo huu
 
Kama madai ya wahadhiri yatatekelezwa,ndipo mnaweza kusema kua may be next week things will get back to normal.

Otherwise wahadhiri msimamo wao ni dhabiti na mmoja kua mpaka waone pesa zao zimewekwa kwenye akaunti zao ndipo watarudi darasani. Porojo na ahadi za kushughulikia madai yao hazitapewa nafasi tena.

Nafasi ya majadiliano inaweza kuwepo pale uongozi wa sasa wa chuo utakapoachia ngazi;uongozi mpya ndio unaoweza kupewa nafasi ya majadiliano. Ila kwa uongozi wa sasa,no room for majadiliano,wahadhiri wanataka waone pesa zao kwenye akaunti zao.

Over.
 
Over and Out!
 
Sio social,Malectuler na humanities tuu!!!kunataarifa kuwa hata wale wa EDUCATION,tangu jana ucku,leo asubuhi na mpaka sasa wako kwenye kikao kumtaka rais wao atengue uamzi wa kusitisha mgomo waliouanza tangu j3,inasemekana Rais huyo mapema jana alibandika matangazo ya kustisha mgomo mara moja ikiwa ni baada ya kukaa na uongozi wa chuo!
 
Sio social,Malectuler na humanities tuu!!!kunataarifa kuwa hata wale wa EDUCATION,tangu jana ucku,leo asubuhi na mpaka sasa wako kwenye kikao kumtaka rais wao atengue uamzi wa kusitisha mgomo waliouanza tangu j3,inasemekana Rais huyo mapema jana alibandika matangazo ya kustisha mgomo mara moja ikiwa ni baada ya kukaa na uongozi wa chuo!inasemekana baadhi ya wanafunzi hao hawauamin uongozi wa chuo mpaka watekeleze madai yao kwa vitendo!
 
Back
Top Bottom