Wanafunzi Udom wajiandaa kuiandikia serikali waraka

SIMONBICHWA S

Member
Jan 1, 2011
11
0
Katika kile kinachosemwa ni kutofurahishwa na namna jeshi la polisi linavyoikanyagakanyaga misingi ya Demokrasia,wasomi udom wanajiandaa kuitwangia serikali waraka wenye kurasa 100 kuilaumu.
Tetesi hizo zimeibuka mara jeshi la polisi kupitia IGP MWEMA kuyazuia maandamano ya CHADEMA kwa kile alichokiita taarifa za Kiintelijensia kuwa kungekuwepo na uvunjifu wa amani.
Hata hivyo uongozi wa serikali ya wanafunzi hao UDOSO umekanusha madai hayo na kudai kuwa kama kuna watu wanataka kufanya hivyo ni matakwa yao na siyo ya wanafunzi wa udom.
 
Sasa kama uongozi umekanusha,mbona heading yako haisemi ivyo? Unabandika uzi ulio out of date mkuu!
 
:hat:
MoD pelekeni hii kule kwenye tetesi inatujazia tu ukurasa wa siasa.

Wataka tetesi wataikuta huko.
 
kwenye heading weka WARAKA badala ya WALAKA

Nimeipenda tu avatar yako. duuhhh!!!


aa.jpeg
 
Ah hiyo avatar ya mtumpole sina hamu. Siku nyingine kuwe na mashindano ya mwenye avatar inayovutia zaidi.
 
Back
Top Bottom