Habari za uhakika tulizozipata usiku wa kuamkia leo ni kwamba wanachuo wa chuo cha ustawi wa jamii kijitonyama wamefanikiwa kumngoa mkuu wa chuo hicho.
Mkuu huyo aliyekuwa na kashfa mbali mbali...
Wote naamini tunakumba kuwa mwezi uliopita Rais Kikwete alizindua mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari Awamu ya Pili. Mpango huu unapatikana katika tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya...
Jamani chuo kikuu cha dr es salaam leo hapaeleweki, kwani maktaba imefungwa, watu kutoka hostel za mabibo wametembea kwa miguu mpaka hapa,
na inasemekana kutakuwa na maandamano mpaka kwa rais...
Taarifa za kuaminikika toka chuo kikuu cha dsm ni kwamba kuna mgomo unaendelea ukiwa na maandamano kuzunguka maeneo ya chuo. Na wanafunzi wamejitokeza kwa wingi na kwa umoja wa ajabu huku wa...
Takribani wiki kadhaa hivi tumesikia migomo ikifanyika ktk vyuo vikuu kadhaa hapa nchini, kwa majina baadhi UDOM,MKWAWA,DUCE,TUMAIN-IRINGA & DAR, na bila kusahau huko ARUSHA na MOSHI. Kwa kipindi...
An expert has claimed to have unravelled the mystery behind the world-famous Mona Lisa painting - saying the model was a man and Leonardo da Vinci's lover.
Artist da Vinci has proved an endless...
Wakuu, wale waliokuwa Sengerema Secondary miaka ya 1995-1997,mnakumbuka misemo hii:
Chaka-sehemu ya kujisaidia kichakani.
Pia mnakumbuka mwalimu katendele, alikuwa anapenda sana kuku.
Mnakumbuka...
Nasa's planet-hunting telescope is finding whole new worlds of possibilities in the search for alien life.
An early report from a cosmic census indicates that relatively small planets and stable...
Shule binafsi hawana hoja-NECTA
Na Mwandishi Wetu
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limesema kuwa madai ya Chama cha wamiliki na mameneja wa shule na vyuo visivyo vya
serikali...
Aulizaye ataka kujua,
Hivi kuna wanaJF waliosoma Ihungo? Mie nilisoma mwanzono mwa miaka ya 1980. Nakumbuka yafuatayo:
1. Ile njia ya Japan inayotokea Kashai?
2. Ule Mti wa Balaa kama unaenda...
Matokeo yalyotangazwa na baraza la mithihani yanaonekana kuamsha hisia kama si hasira kwa makundi mbali mbali ya jamii. Hisia hizo ni kwasababu kuu mbili, kwanza wingi wa wanafunzi waliofeli na...
Naomba mnisaidie kunidadafulia hili swali ndugu zangu wenye uelewa katika sheria; 'The law on sale of goods in Tanzania is outdated because it is based on Common Law principles which in most...
Naomba mnisaidie kunidadafulia hili swali ndugu zangu wenye uelewa katika sheria; 'The law on sale of goods in Tanzania is outdated because it is based on Common Law principles which in most...
Naomba nikukumbushe umeupokea mkoa huu kutoka kwa mama mafole ulikuwa unashika nafasi tano za juu kitaifa. Lkn baada ya wewe kuupokea na kuingiza madudu yako ( uzinzi, ubabe, ubabaishaji, ukabila...
Habari za siku wadau?
Naomba kuuliza, yale malalamiko ya walimu waliokosa ajira serikalini kwasababu ya kufail (sap) somo moja au mawili yamefikia wapi?
NECTA: HIVI NDIVYO KUDUMISHA MUUNGANO?
Na: Malik Nabwa
Katika mambo ambayo yanauma sana na kuumiza matumbo ni pale mtu au kikundi cha watu chenye kufanya mabaya, kinapojitakasa kwa kutumia lugha...