Maandamano live udsm.

MWAKIGOBE

Member
Nov 1, 2010
65
2
Maandamano kuelekea ikulu sasa yapo, mitaa ya bamaga.
Wanafunzi wa ifm kuwasubiri kwa ham
 
big up wanafunzi mnaotambua haki zenu. hapa bongo bila kukomaa hakuna haki yako. jipangeni vizuri haki zenu mtazipata. historia inaonyesha hakuna posho iliyoongezwa bila wanafunzi kuandamana hivyo kazi kwenu.
 
Mkifika mmpatie salam zetu huyo mkwerekwere, mwambieni Arusha tunajaindaa kupiga kiberiti hoteli zake zote coz inaonekana hata hashtuki kuwa tupo serious.
 
Vipi mmekumbuka kwenda na blanket? inatakiwa mlale ikulu ili leo mpate dinner nae!
 
kwahiyo as of saa nane na dakika 56 mabomu yanarushwa..., mbona kuna mtu amesema wanafunzi wametawanyika na hakuna maandamano tena
 
wanafunzi wengi wameondoka asubuhi kuelekea ikulu , wamewapitia ardhi n IfM nadhani na wenyewe watapitiwa , waliobaki chuo ni wanafunzi wachache na wafanyakazi
 
Back
Top Bottom