Kaponda reo mbeya mkoa umekushinda achia ngazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaponda reo mbeya mkoa umekushinda achia ngazi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by wagagagigikoko, Feb 2, 2011.

 1. wagagagigikoko

  wagagagigikoko Senior Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba nikukumbushe umeupokea mkoa huu kutoka kwa mama mafole ulikuwa unashika nafasi tano za juu kitaifa. Lkn baada ya wewe kuupokea na kuingiza madudu yako ( uzinzi, ubabe, ubabaishaji, ukabila , majungu na yanayo fanana na hayo) mkoa umekuwa ukiporomoka mwaka baada ya mwaka hadi sasa nafasi ya 15 aibu!!! Unataka wanamkoa waandamane kama misri ndio ujue umeshindwa?
   
Loading...