Ajira ya walimu wa stashahada 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira ya walimu wa stashahada 2011

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Matti, Jan 28, 2011.

 1. Matti

  Matti Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Habari za siku wadau?
  Naomba kuuliza, yale malalamiko ya walimu waliokosa ajira serikalini kwasababu ya kufail (sap) somo moja au mawili yamefikia wapi?
   
 2. K

  Kachocho T.K Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa habari zisizo rasmi sana ni kwamba waliambiwa kuwa ajira zinaanza kutoka mwezi wa pili lakini aliye fail atapewa muda kusafisha cheti ila ajira atapata. Na kwa kuthitisha nina mdogo wangu aliyekuwa kwenye mkumbo huo ameitwa kuriport tarehe 1, February wilaya ya kwimba mkoa wa mwanza
   
Loading...