Chuo kikuu cha dsm (UDSM) kuna maandamano

TwendeSasa

Senior Member
May 24, 2008
128
116
Taarifa za kuaminikika toka chuo kikuu cha dsm ni kwamba kuna mgomo unaendelea ukiwa na maandamano kuzunguka maeneo ya chuo. Na wanafunzi wamejitokeza kwa wingi na kwa umoja wa ajabu huku wa
kiimba na wakilaani vitendo viovu vya serikali.
MADAI YAO
kupandishiwa hela ya kujikim kutoka 5000 hadi 10000
kupinga Tamko la uvccm
 
Watoke hapo chuoni, waelekee mnazi mmoja ili watu wengine tulianzishe kwa kuwaunga mkono, ikiwezekana waweke utaratibu vyuo vyote viingie katika mgomo. Waongeze pia madai yanayogusa maslahi ya nchi kama kupanda hovyo bei ya vitu, kulipwa kwa Downs, Tume mbovu ya Uchaguzi, Katiba mpya, Uhaba wa Vitendea kazi mshuleni mfano Shule za sekondari nk.
 
Nimewaona ubungo mataa sijui wanaelekea wapi?
 
yale yale hamna jipya.
Mnagoma alafu wenzenu wakifukuzwa hamuwatetei.
Wengi wameathirika na migomo yenu e.g. Julius Mtatiro, Odong n.k.
Nyie mtapata hio 10000 alafu waliowasaidia kuipata watafukuzwa chuo.
I hope they have a better strategy ya kuwaokoa watakaofukuzwa.
 
Mkuu tupo hapa kwa sababu waliotufikisha hapa wanafikiria maslahi yao, mbona kama unawaunga mkono wanaofikiria maslahi binafsi. Hayo ni matokeo tu.
 
hata misri hawakuanza watu milioni zote ,walianza watu wachache wengine wakafuata hivyo hivyo UDSM endeleeni tuko nanyi in ten days tu takuwa milioni nyingi
 
kesho waongeze madai, na wawatangazie umma kuwa madai yao siyo fedha tu bali hata wanafunzi waliofeli ni matokeo ya mfumo mbovu wa elimu, ufisadi serikali kwa viongozi wa umma, na kutowajibika kwa wahusika. Waombe support kutoka kwetu kwa wananchi, tuko tayari JK hadi akimbie nchi.
 
Taarifa za kuaminikika toka chuo kikuu cha dsm ni kwamba kuna mgomo unaendelea ukiwa na maandamano kuzunguka maeneo ya chuo. Na wanafunzi wamejitokeza kwa wingi na kwa umoja wa ajabu huku wa
kiimba na wakilaani vitendo viovu vya serikali.
MADAI YAO
kupandishiwa hela ya kujikim kutoka 5000 hadi 10000
kupinga Tamko la uvccm

Inabidi kuwa na umoja,hizi isolated demos hazitasaidia sana.There is power in unity.
 
taratibu tutafika na kwa umoja tutaibadilisha inchi yetu,tuwaunge mkono vijana wa udsm wameonyesha UDHUBUTU
 
Re: Chuo kikuu cha dsm(udsm) kuna maandamano
Tukutane mnazi mmoja.

TUNTEMEKE
Today 06:13 PM #16
Senior Member

Join Date : Thu Dec 2010
Posts : 70
Thanks
0
Thanked 5 Times in 4 Posts
Rep Power : 21

Did you find this post helpful? |
Re: Chuo kikuu cha dsm(udsm) kuna maandamano
Tukutane mnazi mmoja.

Tukutane mnazi mmoja.

HUJAKOSEA
 
Back
Top Bottom