Sasa ni zamu ya udsm,, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa ni zamu ya udsm,,

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by WJN, Feb 3, 2011.

 1. W

  WJN Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Takribani wiki kadhaa hivi tumesikia migomo ikifanyika ktk vyuo vikuu kadhaa hapa nchini, kwa majina baadhi UDOM,MKWAWA,DUCE,TUMAIN-IRINGA & DAR, na bila kusahau huko ARUSHA na MOSHI. Kwa kipindi hicho chote UDSM walikuwa wametulia lakini si kwa kuwa wao hawana shida la HASHA bali ukiona kobe kainama ujue.........., Sasa mgomo unakwenda kuanzishwa na wanazuoni hao wa UDSM naona ndio unaokwenda kuhitimisha rasharasha zote za migomo iliyoanzishwa katika vyuo kwa majina hapo juu!
   
 2. W

  We can JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Wanadai nini: Vitabu, maji, pesa za PT au nini hasa?
   
 3. W

  WJN Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Boom lipande toka 5000/= hadi 10000/=, maandamano yote ni kesho 4/2/2011, nadhani hata masomo hayatafundishwa.
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  yani umalize shahada udsm bila mgomo.......thubutuuuuu,hakuna hata mhadhir mmoja ambaye hakukumbana na kadhia hyo!ndo umeanza huo hautoisha
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mapinduzi ya fikra huru?

  We must try and maintain this heartbeat in the body of the motherland, and keep alive the remnants of hope in our veins, not only in universities or opposition rallies, but also on our daily lives!
   
 6. m

  mweleka Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nikweli wengi waliohitimu UDSM wameonja nini maana ya MGOMO! lakini swala la kujiuliza nini sababu ya migomo hiyo, wengi wasio penda ukweli wanahusisha migomo ya wanafunzi na mambo mengine kama vile siasa. jambo la kukumbukwa baada ya migomo madai yao hutekelezwa. imefika kipindi cha kujiuliza hivi serikali huwa inasubiri mpaka wasikie kelele za waliogoma ndo wajue kunashida au nitabia ya kujijali wao wenyewe ndo kinawafanya wasitatue matatizo mapema? kwa mwendo huu hata swala la katiba mpya na wasiwasi mpka jengo la IKULU likazungukwe na wananchi wanahitaji mabadiliko.
   
Loading...