Wanachuo wa Ustawi wamtimua Mkuu wa Chuo

Mwangaza

Senior Member
Feb 26, 2008
198
64
Habari za uhakika tulizozipata usiku wa kuamkia leo ni kwamba wanachuo wa chuo cha ustawi wa jamii kijitonyama wamefanikiwa kumngoa mkuu wa chuo hicho.
Mkuu huyo aliyekuwa na kashfa mbali mbali ikiwepo kutumia madaraka yake vibaya, kutumia pesa vibaya,kuendeleza ukabila (uhaya)chuoni nk. kulikosababisha migomo mara kwa mara chuoni hapo, ameondolewa kwa shinikizo kali kutoka serikali ya wanafunzi chuoni hapo.

Mkataba wa mkuu huyo ulikuwa unaisha 2/2/2011 na alikuwa anatarajia kuu-renew tena lkn serikali ya wanafunzi ilimkomalia na kusitisha uwezo wake wa kurenew.

Kuanzia leo asb chuo hicho kitakuwa kinaongozwa na makamu mkuu wa chuo mpaka mkuu mpya atakapo patikana.

HONGERENI WANACHUO WA USTAWI.
 
Good Job? Tunaanza huku na tutaishia Ikulu..
 
Hivi kile ni Chuo au? I never thought so before!

"Graduate with A's not AIDS"!
 
Habari za uhakika tulizozipata usiku wa kuamkia leo ni kwamba wanachuo wa chuo cha ustawi wa jamii kijitonyama wamefanikiwa kumngoa mkuu wa chuo hicho.
Mkuu huyo aliyekuwa na kashfa mbali mbali ikiwepo kutumia madaraka yake vibaya, kutumia pesa vibaya,kuendeleza ukabila (uhaya)chuoni nk..
Kwani vyuo vyooote vyenye migomo kila kona ya nchi vinaendeshwa na kabila hili? au una gubu na kijiba cha roho.someni acha kulalama haisaidii
 
mmh, hata hivyo serikali imemchelewesha sana huyo mheshimiwa, sijui alikuwa akisimamia maslahi ya nani? nakumbuka enzi za mwakyusa akiwa waziri wa afya na enzi kikiwa bado chini ya wizara ya kazi huyo mkuu alikuwa na kashfa nyingi sana na kama ni kuwajibishwa basi hata mwakyusa asingmkuta kazini! serikali imechelewa mno, kuna mpaka idara moja (HRM department) iliondolewa accreditationa kutokana na madudu ya mheshimiwa huyo. eti aliajiri watu wake wenye advanced diploma na kuwaingiza madatasani kuwafundisha wanafunzi wa degree baada ya walimu kumkimbia!
 
(hapo kwenye red)

peleka uongo wako huko.

kang'olewa na wanafunzi.

serikali yenu inaweza kumuondoa mtumishi kazini?
 
Kama ni hivyo basi wanafunzi hawajamng'oa bali mkataba wake umemalizika suala la kutaka ku renew hatulijui tunajua mkataba wake umeisha juzi tarehe 2/2/2011 kama angeondoka kabla ya mkataba kuisha tungesema kweli ameng'olewa.
 
(hapo kwenye red)

peleka uongo wako huko.

kang'olewa na wanafunzi.

serikali yenu inaweza kumuondoa mtumishi kazini?

pole sana mpendwa kwa kuamini kuwa wanfunzi wanaweza kuzuia mkataba wa mtumishi wa umma hasa hapa kwetu tanzania. nakuona kama hujui mikataba ya kazi za serikali ilivyo pamoja ma michakato yake ndugu yangu hivyo sina budi kukusamehe tu.
 
kama ni kile kijamaa kinaitwa rwegoshora and the liking... it is good for chuo and country that he go....
 
Hizi habari kuwa kang'olewa na uongozi wa wanafunzi umezipata wapi wakati ukweli ni kuwa mkataba wake umeisha na hakuwa na nia tena ya kuendelea na mkataba kwa kuwa chini ya uongozi wake chuo kilikosa hadhi na sifa ambayo serikali ilikuwa inataka na ndio maana haikutaka kuendelea na mkataba nae.
Uongozi wa wanafunzi chuoni hauna mamlaka ya kumuondoa mkuu wa chuo,cha kufurahia ni kuwa kulikuwa na mapungufu mengi chini yake na kuja kwa mkuu mpya kutaleta changamoto ya kuibua mambo mapya ya kuendeleza elimu kwa wanafunzi na jamii kwa ujumla.
 
hapa kikubwa ni mkataba sio kung'olewa na wanafunzi, jadili mambo ya maana , elimika zaidi sio unaendekeza Ukabila, ukabila Uko serikalini sio vyuo
 
kwa jinsi ninavyoifahamu nchi yangu na kuwa viongozi ni vinganganizi wa madaraka hasa vilaza kama huyu roshogora, basi kama siyo vuguvugu la hao wanafunzi na migomo inayoendelea nchi nzima huyu asingekataliwa ku-renew huo mkataba wake
 
yap, hapo ndipo ukweli unapolalia
 
Nadhani ungeadika tu ukabila bila kutaja kabila ingekuwa poa zaidi maana si makabila yote yanayojulikana kwa ukabila wote wakawa na ukabila
hata hivyo hakuna kabila lisilo na chembe chembe za ukabila vivyo hivyo hakuna taifa ambalo halina utaifa japo twatofautiana kwa asilimia za hizo chembe chembe...
thanks anyway!
 
(hapo kwenye red)

peleka uongo wako huko.

kang'olewa na wanafunzi.

serikali yenu inaweza kumuondoa mtumishi kazini?

Yote sawa. Usimpende sana mtu huyu hata kama ni mzazi wako. 'Kabowa' performance ni chini ya kiwango.

Serikali wanafunzi nadhani wanategemeana. Muelezaji ametujuza mtu ambaye amekuwa akilalamikiwa kwa miaka sasa. Laana zangu ni kwa serikali. Ilihitaji muda wote huo kubadilisha uongozi mchafu kama huo.
 
Back
Top Bottom