Watanzania wenzangu kuna habari nimezipata kweli zimenistua sana.
Nimesikia kwamba shirika la world vision lilitoa nafasi za kazi, lakini katika nafasi hizo, wanatakiwa wahitimu waliomaliza...
WAKUU SALAAM
Nina mpango wa kuanzisha NGo itakayojikita kwenye kuelimisha watu kuhusu mauaji ya albino na wazee kwa tuhuma za uchawi yanayokithiri katika kanda ya ziwa.
Kwa nini nimeanika hapa...
Na Abdul Mitumba
8th May 2011
Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wamekiri kuwa kima cha chini cha mshahara anacholipwa mwalimu anayeanza kazi kwa...
Nipo kazini kwa muda mrefu kidogo hivi sasa!
Wakati naanza kazi nilikuwa na matumaini makubwa ya kutoa mchango mkubwa katika utoaji wa huduma katika eneo langu la kazi, lakini naweza kusema hali...
Habari wana JF. Jamani Laptop yangu ina tatizo la sound, naombeni msaada wataalam wa IT/Computer Science. Nimeshahangaika nayo sana, HP website nimecheck drivers hazipo ambazo ni compatible na...
Chaguzi uliovurugika jana saa saba mchana leo pia utavurugika tena kwa vile tume ya uchaguzi imeondoa jina moja bila kuuarifu umma .pia kituko kitaonekana pale ambapo kijana mmoja bashe atakapo...
Kuna ubishi ambao umetokea leo hapa mtaani kuhusu chuo cha dodoma (udom)
eti wengne wanadai kajenga Bill gate na wengne wanadai kuwa ni mtoto wa mfalme wa Oman kajenga kulipa fadhila baada ya...
Mwenyekiti wa tawi la ccm CHUO CHA BIASHARA- CBE DSM Ndg MISSO ameshindwa nafasi ya urais aliyokuwa inawaniwa na kijana mpambanaji Ndg KIDELA. Wiki nzima iliyokuwa imejaa mbwembwe pale chuoni...
Habari zenu wana JF,tafadhali ndugu zangu naombeni msaada wa mawazo kwa ajili ya mdogo wangu ambaye amemaliza kidato cha sita mwaka huu kwa bahati mbaya matokeo yake si mazuri,amepata div.III ya...
Jamani jamani nani atasaidia wanafunzi ktk chuo kikuu cha Tumaini kampasi ya Kurasini? Tusikimbilie neno UDINI. Mazingira ya kusomea ni mabaya sana hasa jioni. Ni vurugu mechi, kuna kwaya ya...
Learn science online with At Home Tuition get ahead. We offer a variety of programs concerning science, including physics, chemistry, and biology as well as more specialized courses. We provide...
Hivi sasa wanafunzi wa UDSM Campus ya Mlimani wameanza mchakato wa mgomo.Sasa wapo chini ya Jengo la Utawala wakisoma maazimio yao.Wanapanga kwenda Bodi ya Mikopo kesho.......
NAOMBENI MSAADA JAMANI!Nataka kurudia mtihani wa kidato cha SITA february 2011 kwa Combination ya HKL.Kwa kuwa SILABASI zimebadilika naomba nitajiwe mada zinazotakiwa kusomwa katika...
Wakuu Nisaidieni
Hivi hizi status za TCU registration zina maana gani? mf. Udsm/Sua ( Accredited and Chartered), Tumaini Moshi (Accredited), Mzumbe (Full Registration and Chartered)...
Ktk chuo kikuu cha dodoma kunaendelea kampeni za kumchagua raisi wa chuo ila imeonekana wazi serikali kupitia uongozi wa juu wa chuo kuwaweka watu wao wanawowataka wao kwani Abubakary Bashe...
Mabadiliko ya jinsi ya ujazaji wa form za mikopo kutoka HESLB ni wa kisiasa tupu, watu wenyewe walio wekwa kwenye help desk na hawapokei simu. Zinaita mpaka zinakata, na sometimes hazipatikani...