Ni kweli wahitimu wa udom hawaitwi kwenye interview???

THE GEEK

Member
Dec 10, 2010
90
32
Watanzania wenzangu kuna habari nimezipata kweli zimenistua sana.

Nimesikia kwamba shirika la world vision lilitoa nafasi za kazi, lakini katika nafasi hizo, wanatakiwa wahitimu waliomaliza katika recognized universities isipokuwa udom.

habari hii imenisikitisha na kunistua sana kwani wapo marafiki zangu ambao wanasoma udom, sijajua hatma yao itakuwa ni nini.

Na inasemekana sio world vision peke yake, bali hata sehemu nyingine wanawakata majina yao kwa usaili kama umemaliza udom.

Wenye taarifa naomba watujuze jamani.
 
Pocbly cz kuna wanafunz wanaomaliza wakiwa wamehudhuria elimu kwa vitendo na wengine wanamaliza bla elim kwa vitendo
 
Hizo ni taarifa za uzushi mitaani tu. Daima taarifa za kiuzushi huwa zinavuma kuliko ukweli wa mambo yenyewe. Ondoa hofu juu ya hilo!
 
Mi si mara ya kwanza kulisikia...hilo sula nilishalifanyia uchunguzi nikapata findings...tena tatizo hilo ni la vyuo vingi...ishu iko hivi most of recruiters wanaamini kua universities ni udsm,sua na mzumbe..(ingawa si sahihi).nawapa mfano hai...kuna jamaa yangu aliitwa kwenye interview Engender health kabla ya kwenda huyo incharge alikua mkuu wa research dept.akamwambia kwenye simu kua chuo ulichosoma baadhi ya wenzangu walishahawahi kukataa wahitimu wake kua tusiwachukue(jamaa angu kasoma Mipango dodoma/graduate) ila yule mkuu wa idara akamwambia tulimuajiri huyo mwenzako wa mipango that time and he is doing wonders..so hata wewe ukipata nafasi hapa hope utakua bora pia........nachotaka kusema wadau ni kua hizi imani zipo..tena kuna tatizo la watu kutokujua tofauti ya Institute na Universities...Institute is professional oriented na hazifanani na universities...NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK
 
ucogope ma dia ...!tatizo la watanzania wengi bado wanafikiri chou kikuu ni udsm,mzumbe na sua pekee no..!udom ni chuo kinachotoa products kama vyuo vingine2..mm nafikiri ipo haja ya management kujaribu kuwatengenezea mazingira mazuri ya soko la ushindani wa ajira kwa hawa wanafunzi wao..
 
Ht mm nlpt hzo taarfa zlnktsh tamaa sn coz nko ple npg Information Systems bt at th end of th day nikasema haina shida ishu ni kukamka af unajiajiri,wakiona wa-wonders watakutafuta 2 af unawachinjia baharini.I rmmbr nlvymlza six nliomba tempo kwny xcul flan wakanzngua bt matokeo ylvytka wakantafta wnyw,nlchwajb Mungu 2 anajua...
 
Aisee kama ndo unaandika hivyo sahau kabisa kupata kazi.
 
WAONGEZE WALIMU WENYE SIFA KWANI WALIMU WAO WENGI UDOM IN BACHELOR HOLDERS,SASA TUNATAKA PhD WAWEPO HALAFU MITIHANI YAO UDOM NI MULTIPLE CHOICE KWA HIYO WANA LACK SOME COMPETENCES IN ONE WAY OR ANOTHER.KAMA WALIMU WANAONA SHIDA YA KUSAHIHISHA BASI WATAFUTE NJIA MBADALA KAMA SHORT TERM PAPERS ZENYE KURASA KIDOGO ILI SOKO LIWAKUBALI OTHERWISE WATAISHIA KUWA KAMA MMEM NA MES,OTHERWISE UDOM HAWANA SHIDA SANA THEY WILL GROW FURTHER
 
Ht mm nlpt hzo taarfa zlnktsh tamaa sn coz nko ple npg Information Systems bt at th end of th day nikasema haina shida ishu ni kukamka af unajiajiri,wakiona wa-wonders watakutafuta 2 af unawachinjia baharini.I rmmbr nlvymlza six nliomba tempo kwny xcul flan wakanzngua bt matokeo ylvytka wakantafta wnyw,nlchwajb Mungu 2 anajua...
Andika kama mtu aliyesoma chuo kikuu bwana, hivyo wanaandika watoto wa sekondari!
 
hivi kweli hakuna mtu mwenye evidence tuthibitishe kama ni kweli au si kweli?! MOD do something plz
 
WAONGEZE WALIMU WENYE SIFA KWANI WALIMU WAO WENGI UDOM IN BACHELOR HOLDERS,SASA TUNATAKA PhD WAWEPO HALAFU MITIHANI YAO UDOM NI MULTIPLE CHOICE KWA HIYO WANA LACK SOME COMPETENCES IN ONE WAY OR ANOTHER.KAMA WALIMU WANAONA SHIDA YA KUSAHIHISHA BASI WATAFUTE NJIA MBADALA KAMA SHORT TERM PAPERS ZENYE KURASA KIDOGO ILI SOKO LIWAKUBALI OTHERWISE WATAISHIA KUWA KAMA MMEM NA MES,OTHERWISE UDOM HAWANA SHIDA SANA THEY WILL GROW FURTHER
we hujui unachongea.natamani nikutukane mpaka ufe!hujui wanaume tunavyoumia hapa,eti MULTIPLE CHOICE,ulikuja ukaona?watu wanasoma kozi za ajabu,ngumu na zakukatisha tamaa ya maisha.hizo multiple ch unazosema sometimes unaweza hata usizione.kama wewe hujui sema uoneshwe mitihani ilivyo.nipo tayari ku post hapa mitihani inayotolewa! kama huna la kuteta kaa kimya!**** wee!
 
WAONGEZE WALIMU WENYE SIFA KWANI WALIMU WAO WENGI UDOM IN BACHELOR HOLDERS,SASA TUNATAKA PhD WAWEPO HALAFU MITIHANI YAO UDOM NI MULTIPLE CHOICE KWA HIYO WANA LACK SOME COMPETENCES IN ONE WAY OR ANOTHER.KAMA WALIMU WANAONA SHIDA YA KUSAHIHISHA BASI WATAFUTE NJIA MBADALA KAMA SHORT TERM PAPERS ZENYE KURASA KIDOGO ILI SOKO LIWAKUBALI OTHERWISE WATAISHIA KUWA KAMA MMEM NA MES,OTHERWISE UDOM HAWANA SHIDA SANA THEY WILL GROW FURTHER
we hujui unachongea.natamani nikutukane mpaka ufe!hujui wanaume tunavyoumia hapa,eti MULTIPLE CHOICE,ulikuja ukaona?watu wanasoma kozi za ajabu,ngumu na zakukatisha tamaa ya maisha.hizo multiple ch unazosema sometimes unaweza hata usizione.kama wewe hujui sema uoneshwe mitihani ilivyo.nipo tayari ku post hapa mitihani inayotolewa! kama huna la kuteta kaa kimya!**** wee!
 
Ht mm nlpt hzo taarfa zlnktsh tamaa sn coz nko ple npg Information Systems bt at th end of th day nikasema haina shida ishu ni kukamka af unajiajiri,wakiona wa-wonders watakutafuta 2 af unawachinjia baharini.I rmmbr nlvymlza six nliomba tempo kwny xcul flan wakanzngua bt matokeo ylvytka wakantafta wnyw,nlchwajb Mungu 2 anajua...

Badili huo mwandiko wewe unafikiri unatuma text message hapa unaogopa hela isiende nyingi.
 
manegement yachuo nayo nitatizo mbona wako kimya kwenye mambo yamsingi kama haya kwann hawajawahi kukanusha.
 
Hiyo habari ilivuma sana udom ila kwa bahati moja mbaya ama nzuri tangazo lenyewe lilitoka tarehe1 April (fools day)
 
Hv nani kasema haya? Me nipo serikalini na nawaona wahitimu wa udom wakipata ajira,tatizo lipo kwa waajiri waliosoma zamani,ni kwl hata bosi huwa anakosa imani na udom,ila msijali ipo siku mtaaminika..
 
Back
Top Bottom