UVCCM na Zidumu fikra za mwenyekiti mpaka Udom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UVCCM na Zidumu fikra za mwenyekiti mpaka Udom

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SOKON 1, May 5, 2011.

 1. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ktk chuo kikuu cha dodoma kunaendelea kampeni za kumchagua raisi wa chuo ila imeonekana wazi serikali kupitia uongozi wa juu wa chuo kuwaweka watu wao wanawowataka wao kwani Abubakary Bashe nduguye wa Bashe aliyeambiwa siyo raia wa TZ akiwa ktk kampeni zake za Udom akikana yeye siye ccm na hayupo ktk UVCCM ila alijikuta akitumia mda mwingi akizidumisha fikra za mwenyekiti JK alizokuwa akizungumza ktk kampeni na mpaka sasa ktk madaraka yake mambo hayo ni;
  1. Ukabila
  2. Dini
  3. Ukanda
  4. Uwanaharakati ( chadema)
  Wana JF chukua maneno ambayo mwenyekiti wa ccm huwa akizungumza ktk hayo mambo manne kisha paste kwa uyo Abubakary Bashe ndivyo alivyokuwa akisema.

  My take:
  Udom ni sehemu ya wasomi badala ya kuzungumzia academic issue yeye anatoka nje ya mada na inaonesha wazi kuacha mambo ya masomo na kawekwa kwa sababu maalumu.
  Kwani Udom inamatatizo mengi sana ya kitaaluma.
  Pia iweje mambo ya siasa za nchi ziwepo chuoni kwani kutokana na kauli za huyu jamaa zinanifanya nisema ni UVCCM na zidumu fikra za mwenyekiti.
  Nawasilisha
   
 2. m

  mkulimamwema Senior Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nao udom wajinga sana hivi vijana mtaongozwaje na watu ambao baba zao ni wezi wa kodi zetu zaidi sana wanatumia kodi zetu kuomba kura,udom mimi huwa wananishangaza angalia walivyojipendekeza kumchangia pesa JK agombee urais lakini migomo iliyowakuta ni mabomo ya machozi na virungu hata sasa informatics wamefukuzwa chuo amkeni nani kawaloga vijana wangu mbona wenzenu wa udsm hawayumbiswi sisi tunawategemea wasomi nyie....SHUKURANI YA PUNDA NI MATEKE
   
 3. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwani wanaopiga kura ni viongozi wa chuo au wanafunzi?
   
 4. n

  namboyo Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngoja tuwaonyeshe hawa mwaka huu wamekuja na sera mbili udini na uchama atachuguliwa na mawakala wa ufisadi machafu na bayo juzi coed tumemfukuza alafu uongozi wa mwaka huu wagombea wanaharakati wametolewa wote wakaleta watatu yaani kada wa ccm mwasige mtoa matamko kutukana bashe huyu sasa hivi anajifanya chadema lakini wanachadema wanasema ana kadi mbili moja ya ccm nyingine ya chadema ili kupata umaarufu kwa hiyo huyu ni mamluki wala hata sipigi kura mtaharibu kwenye ngazi ya raisi
   
 5. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mchakato mzima umechakachuliwa na waliopitishwa hawakwepeki kuchaguliwa na watu wameambiwa wasiwapigie kura so kuna hati hati kwa kutokuwa na rais wa chuo ndivyo kampeni zinazoendelea kuwapinga!
   
 6. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ila cha kushangaza huyu jamaa ana kadi ya chadema so ninamashaka uvccm ndani ya bavicha.
   
 7. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wanaowapigia kura ni wanafunzi ila wamepitishwa na uongozi wa chuo.
   
 8. M

  MVUA GAMBA Senior Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana Jf wenzangu wana UDOM wamekuwa wakipotosha taarifa nyingi juu ya uchaguzi huu wa URAIS,hoja na mantiki zinazotumiwa kumchafua huyu dogo anaetwa ABUBAKAR MOHAMED,ni kwakuwa tu ni mdogo w HUSSEIN BASHE, dogo huyu kiukweli ni kichwa ameweza kujipambanua kwamba yeye si mamluki wa CCM collage ya education si kweli alifukuzwa haya anayoyasema yalitokana na maswali tuliomuuliza mwenyewe,mfano aliulizwa uhusino na kaka yake,alijibu akasema ni kweli Hussein ni kaka yake,lakini akashangaa watu kumuhukumu undugu wa kaka yake wasidhani na yeye ni ccm,alihoji 1995 makongoro nyerere alikuwa NCCR, leo mjukuu wa mwalimu nyerere ni chadema haina maana ukitoka ktk familia ya wana ccm basi na wewe ni ccm dogo alisema huo ni uvivu wa kufikiri,aliwakumbusha wana udom kwamba asihukumiwe kwa jina la kaka yake bali matendo yake.

  iliibuka hoja ya udini akaambiwa inakuaje collage ya education wagombea wote waislamu,akajibu ni mvivu wa fikra tu ambae atahoji hilo na kusahau kwamba viongozi wa collage hiyo miaka yote hawajawahi kuwa waislamu na hoja hii haijawahi kuibuka kwanini sasa?akawashangaa waalimu wenzangu hapa udom ambao tunaleta hoja ya dini,akasema ukiona watu wanajadili DINI,KABILA,UKANDA dogo alitumia maneno yafuatayo,either ni wendawazimu,ama ni wavivu kufikiri ama wana maradhi ya kumbukumbu.alishangaa wasomi kuanza kufikiri katika muelekeo huo,na alituonya tusiwe tunafikiri kwa urefu wa pua zetu KAMA VIONGOZI WENGI WA NCHI HII .

  Dogo huyu alisema yeye si mwana ccm kwakua ccm ya sasa si ile aliyoienzi mwalimu nyerere,alisema yeye si cuf kwakua chama hichi si cha kitaifa,alisema yeye si nccr,kwakua chama hichi si cha upinzani,alisema yeye si chadema kwakuwa mpaka sasa chadema kimekaa kiharakati na kushindwa kujenga chama na kimeanza migogoro ya kimakundi kama ccm,ila alimalizia kwa kusema mpaka sasa hana kadi ya chama chochote ila anakitazama kwa ukaribu chama cha chadema kwani anahisi kinaweza kujibu matatizo ya watanzania kikiamua kufanya kazi ya chama cha kisiasa kwani hata 201o,alipiga kura kwa DK SLAA,UBUNGE HAKUCHAGUA ,UDIWANI ALICHAGUA CUF,na alisema aliharibu kura ya ubunge kwakua mgombea wa chadema wilayani kwake hakua na sifa,na kamwe asingechagua CCM.

  Wana JF si kweli tulimfukuza bali huyu ni mgombea pekee ambae aliweza kufanya kampeni ktk collage yetu CCM hawana imani nae kwakuwa wana hisi si mwenzao huyu ni mgombea pekee ambae ametuahidi mabadiliko ya katiba,ni mgombea pekee aliejibu swali linalohusu infomartics namna atakavolitatua,ni mgombea pekee alietuahidi kumfikisha polisi RAIS wetu anaemaliza muda wake kwa UFISADI alofanya ni mgombea pekee alietuahidi kutoruhusu ccm kukitumia chuo chetu kwa maslahi yao,ni mgombea pekee alietuahidi kusimami swala la mafunzo ya vitendo.

  Ni aibu watu kuja hapa na kupotosha haya mengi
   
 9. m

  muraweto Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli chuo cha ccm na wanaosoma huko wote wamekuwa wana ccm! lazima mfike mahala elimu yenu iwakomboe si kumchukulia kikwete fomu ya kuwania urais halafu mnaanza kusema oh hakuna maji chuo oh mikopo hatupewi! ninyi ni wasomi wa namana gani mnao kubali kirahisi kuyumbishwaa na mfumo bila kuuyumbisha? abao hawajaenda shule kabisa watafanya nini? toba!
   
 10. n

  namboyo Member

  #10
  May 5, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alafu wewe unayeweka vikao block i mwizi wewe bashe hafai bora kuharibu kura ili mkipiga filimbi nipige kwa raha zangu kuhamasisha mikutano endelevu block e msituletee unafiki swala la udini hatujali ila hawana vigezo bora ajichague mwenyewe hongera mwana harakati uliye jivisha mabomu kumfukuza jamaa anaye nunua watu alafu hakuzungumzia swala kumpigia dk kura hili umeongopa pia hajasema kwamba hana chama aliyesema hivyo ni mwasige acha kuongopea uma wa udom
   
 11. LWAKAPISI

  LWAKAPISI Member

  #11
  May 5, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatzo wagombea wote vibaraka na wamewekwa kwa masilahi ya uongozi wa chuo na ccm.Tatzo UDOM unafiki mwingi vinginevyo tulipaswa tusipige kura wote ili uongozi wajue kuwa hatutaki ushenzi huu.Kwanza iweje watujaze udini?!!!Tena bora yaBashe huku COED ndio Tume imeonesha kuwa CCM inaujinga maana kama wewe ulishawahi onekana mkutano wowote wa CDM na uligombea walipgwa chini,ila ccm wote wameptishwa mfano mzuri ni CHORO ambaye anawika kila siku hapa BLOK F na hawezi ongea sentens yoyote bila kuingiza matusi ila kapitishwa kisa UVCCM
   
 12. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2011
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,648
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  We ndo mjinga tena ***** wa kufikiri hakuna anayejipendekeza hapa, Rais wako anayekuongoza c mwizi? Katika jimbo ulipo m/kiti wa mtaa, diwani, mbunge, na Rais ulomchagua ndo kashinda? Nadhan c kwel, tambua UDOM ni sehem ya jamii kama ilivyo ktk jimbo ulipo. Na swala la kumchangia ulomtaja ni swala wa wanamagamba wa hapo UDOM. Lakini si wana UDOM wote walimchangi mzee wa kaya. Huijui UDOM na hutaijua ukiwa na mtazamo hasi. Kwa taarifa yako, UDOM ndo yaweyekana inawachama wengi wa upinzani halisi na si wingi wa Uanachama wa kuwa na kadi yinazogawiwa na wanajembe na nyundo. JARIBU KUNIPENDA THEN NIHUKUMU, NA HUKUMU HIYO ITAKUWA ISIYO NA MAWAA!
   
 13. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,648
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Mwana umesema kweli tupu utadhan umeshi ndogo kwa ustadhi wa ujasini! Tehe tehe tehe... Wapo hapa blk E nadhan yatakuwa ya I pia
   
 14. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wizi wa kura na rushwa mpaka kwenye uongozi wa serikali za wanafunzi?!
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  ningekua mimi nisingemjibu...
   
 16. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Udom ni chuo kichanga ata kitaifa hakijulikani na uwezi fananisha na Udsm iweje leo kipewe uwezo mkubwa wa jina uku productivity yake hatuijui ndio maana kwa uwezo mdogo wa fikra kutokana na wengi wao ni fresh from school wanajikuta hawana maamuzi sahihi na kuwa bendera fuata upepo ila kama hawatakaa chini na kujadili mustakabali wa chuo cha Udom ni mwelekeo wa kupotee kitaaluma.
  Ndugu zangu wana Udom ambao mpo humu javini JF nibora ukajitambua wewe kama ulivyo kisha ukapenda chuo chako ktk mafanikio yatakao tangaza chuo kitaaluma na sio vinginevyo
   
Loading...