Elimu TZ haieleweki kabisaaaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu TZ haieleweki kabisaaaa!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tizo1, May 6, 2011.

 1. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  NAOMBENI MSAADA JAMANI!Nataka kurudia mtihani wa kidato cha SITA february 2011 kwa Combination ya HKL.Kwa kuwa SILABASI zimebadilika naomba nitajiwe mada zinazotakiwa kusomwa katika History,Kiswahili na English language.ili niweze kujiandaa mapema!
   
Loading...