Msaada wa mawazo tafadhali wana jf. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa mawazo tafadhali wana jf.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by gillard, May 4, 2011.

 1. gillard

  gillard JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 227
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  Habari zenu wana JF,tafadhali ndugu zangu naombeni msaada wa mawazo kwa ajili ya mdogo wangu ambaye amemaliza kidato cha sita mwaka huu kwa bahati mbaya matokeo yake si mazuri,amepata div.III ya point 13 matokeo yake ni kama yafuatayo:-
  G/STUDIES-F,HISTORY-E,GEOGRAPHY-D,DIVINITY-F,BAM-F,ECONOMICS-D

  naomba ushauri wenu,je inawezekana akapata udahili katika vyuo vya serikali?
  pia kuna uwezekano wa yeye kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu?
  nashukuru sana,karibuni
   
 2. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  vigumu kupata nafasi au mkopo. Lakini vema ajaribu kuapply, mambo ya bongo sometimes zali tu. Pia sio mbaya akiapply diploma level ktk fani apendayo. Au km yupo tayari kwa msuli mkali, a resit. in short awe na multiple options kuepuka kupoteza muda bure.
   
 3. gillard

  gillard JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 227
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  nashukuru kwa mawazo yako.

   
 4. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  unaprinciple pass kwenye combination yako kwa hiyo usiogope sana uwezo wakupata chuo unaona . Sema la kama una principle pass ya basic maths o level itakuwa nzuri sana hasa ukitaka kuomba kozi za biashara na uchumi . Nakushauri uapply vyuo kama udom kuna kozi nyingi sana ambazo kwa matokeo yako unaweza pass pia ardhi university (aru). Kuhusu suala la mkopo litagemea na vigezo vingi nasikia sasa wamebadilisha mfumo .ila baadhi ya vigezo walivyokuwa wanatumia zamani wanaangalia education background (shule ya serikali au private st) kitu kingine hali yako ya kifamilia .
   
 5. gillard

  gillard JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 227
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  ubarikiwe nashukuru sana kwa mawazo yako,tutaangalia kila njia ambayo tunaona ni rahisi.
   
 6. Mwalimu Mkuu

  Mwalimu Mkuu Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  kwa sasa uwezekano ni mkubwa mno wa kupata chuo kupitia TCU (central admission system CAS). mwambie apply tu hasa kozi za education, atapata admission na mkopo pia. kwa sasa kupitia TCU analazimika kuchagua vyuo visivyopungua nane na visizidi 12. hivyo uwezekano ni mkubwa maana hata mwaka jana wapo wengi waliochukuliwa tena wakiwa na ufaulu mdogo zaidi ya huo! KILA LA HERI!
   
 7. gillard

  gillard JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 227
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  Nashukuru,mwalimu mkuu kwa ushauri wako
   
 8. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,229
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  BA in/with Education atapata
   
 9. gillard

  gillard JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 227
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  Shukrani kwa mawazo yako.
   
Loading...