Nataka kuanzisha ngo ya itakayojihusisha na kuelimisha masomo ya sayansi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuanzisha ngo ya itakayojihusisha na kuelimisha masomo ya sayansi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by segwanga, May 9, 2011.

 1. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  WAKUU SALAAM
  Nina mpango wa kuanzisha NGo itakayojikita kwenye kuelimisha watu kuhusu mauaji ya albino na wazee kwa tuhuma za uchawi yanayokithiri katika kanda ya ziwa.
  Kwa nini nimeanika hapa janmvini?
  1.Mauaji bado yanaendelea,kifo cha binadamu asiyekuwa na hatia hakikubaliki
  2.Nataka kushirikisha wanafunzi wangu waliohitimu katika shule moja huko kanda ya ziwa na sasa wapo wakisoma vyuo mbalimbali hapa nchini.Kwa sababu ni wengi je inakubalika kuwepo na NGO inayohusisha watu wengi (kama 70) hivi? au pengine haikubaliki.Naomba ushauri wenu
   
Loading...