Wana-jf niokoeni katika hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana-jf niokoeni katika hili

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KasomaJr, May 8, 2011.

 1. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Habari wana JF. Jamani Laptop yangu ina tatizo la sound, naombeni msaada wataalam wa IT/Computer Science. Nimeshahangaika nayo sana, HP website nimecheck drivers hazipo ambazo ni compatible na laptop yangu.
  Details:
  Laptop: HP Pavilion dv6645el Entertainment Notebook PC
  OS: Window 7 (Baada ya kuondoa Vista iliyokuja na machine)

  Jamani Nisaidieni tafadhari.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,049
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  Nakushauri uipeleke kwa fundi redio wa mwembeni atakusaidia
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,743
  Likes Received: 832
  Trophy Points: 280
  hakuna laptop yenye jina hilo,nimecheck kwenye site ya hp
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwa maana hiyo hicho kitu mchina kakifoji pole sana kijana!!!
   
 5. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Anyway sina comment juu ya hilo, lakini kumbuka nina hakika na ninachokiandika hapa. Nimetoa P/N kurahisisha zoezi kwa yule ambae anaweza kunisaidia. HP kuwa zipo kwa series, for that reason Yangu ipo kwenye dv6500, na ukienda specifically product number ya machine yangu ndiyo hii dv6645el.
  Nashukuru kwa mchango wako.

  Refer: http://h10025.www1.hp.com/ewfrf/wc/softwareCategory?os=2100&lc=en&cc=us&dlc=en&sw_lang=&product=3630049#N150
   
 6. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pamoja na uchanga wako humu kwenye JF, bado huwa natambua michango yako...ila kwa hili....nadhani umedhihirisha utoto wako kwa umri hasaaaaa.
  Ushauri: Kama huna kitu cha ku-share better stay silent. Kimya kina tabia ya kuhifadhi upumbavu wa mtu na kuonekana mwenye hekima.
  Asante sana.
   
 7. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hiyo laptop ndio hii hapa? https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/132559-nauza-kiwanja-nyumba-kigamboni.html#post1946961 Ungeweka kule kwenye technolojia wangekusaidia.
   
 8. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kama hauna mchango ni bora ya kukaa kimya kuliko kuonyesha upumbavu wako. sio kila thread lazima uchangie
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  we hebu rudi jukwaani kwako wasije wakakushambulia bure.
  Rev peleka hii thread jukwaa la teknolojia utapata misaada mingi.
   
Loading...