Nahitaji shule ya kufundisha(private)

wa UDOM

Member
Apr 10, 2011
34
2
wana JF ninamaliza Masomo mwezi wa7.Ba.Ed. Natafuta shule ya private.ni mtaalam wa English language na English Literature.
 
Mkuu nenda ukaombe Majengo sekondari iliyoko Moshi mjini huwezi kukosa ni shule nzuri wanalipa vizuri
 
Nenda Bagamoyo shule inaitwa NIANJEMA HIGH SCHOOL au SINZA TOWER SEC SCHOOL ila sinza wanalipa laki na tisini na hawalipi NSSF ila nia njema mshiko ni about five to six hundred thousands
 
Nenda Bagamoyo shule inaitwa NIANJEMA HIGH SCHOOL au SINZA TOWER SEC SCHOOL ila sinza wanalipa laki na tisini na hawalipi NSSF ila nia njema mshiko ni about five to six hundred thousands

Elli je wewe huna contacts zozote za hao jamaa wa Bagamoyo?tar 30 mwezi wa 6 naondoka hapa na mimi ni mwalimu serikalini ila sitaki kurudi.hakunifai.ahadi nyingi,utekelezaji = 0
 
Back
Top Bottom