Mwenyekiti wa CCM-CBE ameshindwa URAIS

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,757
437
Mwenyekiti wa tawi la ccm CHUO CHA BIASHARA- CBE DSM Ndg MISSO ameshindwa nafasi ya urais aliyokuwa inawaniwa na kijana mpambanaji Ndg KIDELA. Wiki nzima iliyokuwa imejaa mbwembwe pale chuoni iliitiimishwa jana kwa upigaji wakula.Na kijana wa CDM kuibuka mshindi.
 
Hivi siku hizi ruksa kusema mi niko CCM au CDM au chama fulani vyuoni? Kama ni hivyo, Congratulation Mr President Elect.

Hope hutawaangusha wenzako! Tunaomba utuwekee na data kamili, kashinda kwa ngapi?

Vipi Ma - VX au Landcruiser kutoka kwenye magamba hazikuwa zinaleta mzigo wa kutosha kuwalewesha wanafunzi?
 
Upepo ulibadilika siku ya jtano baada wafuasi wa MISSO kuanza kuimba ccm ccm ccm,Hapo kila kiti kikabadilika,wanachuo hapo wakakutaka kampeni za vyama kutawala pale chuo.Upande wa KIDELA baada ya kusikia tambo za ccm,Hikawa kete takatifu wakajibu CHADEMA CHADEMA.Jahazi la misso likaaza kuzama na kubakiwa na wanachuo wasichama wakimuunga mkono.
 
T
uwekee data mkuu, ni mhimu kwa kumbukumbu huko mbeleni!
 
If that the case na mimi nikiwa nina interest CBE nitashauri bodi ya chuo ibatilishe ushindi na wagombea wote wawe disqualified. Siasa vyuoni zina athari kubwa kuliko tunavyoweza kudhani.
 
Jamaa alifikiri siasa za kujivua gamba zina nafasi chuoni, imekula kwake. Congrats kwa mshindi, ila vijana wajiangalie sana kuchagua uongozi kufuata itikadi za vyama badala ya uwezo wa mtu. Historia inaonyesha affiliates wa ccm hawanaga uwezo wa kuongoza
 
If that the case na mimi nikiwa nina interest CBE nitashauri bodi ya chuo ibatilishe ushindi na wagombea wote wawe disqualified. Siasa vyuoni zina athari kubwa kuliko tunavyoweza kudhani.
hupo sawa mkuu hila inapofikia watu wakatumia mwanya wa vyama kusaka ushindi,Tatizo linalojitokeza chuoni ni viongozi wa matawi chuoni kuona kuwa wao ndo wenye mamlaka y kuongoza nafasi ya urais.Sasa na wale waopenda mlengo wa kushoto wametafuta pakukimbilia
 
Mwenyekiti wa tawi la ccm CHUO CHA BIASHARA- CBE DSM Ndg MISSO ameshindwa nafasi ya urais aliyokuwa inawaniwa na kijana mpambanaji Ndg KIDELA. Wiki nzima iliyokuwa imejaa mbwembwe pale chuoni iliitiimishwa jana kwa upigaji wakula.Na kijana wa CDM kuibuka mshindi.

Je mtoa mada unataka kutueleza Kidela ameshinda kwa hoja ya kuwa mwanachedema au kwa kuuza sera za atavyoweza kusisimamia haki za wanafunzi? Tupe ufafanuzi wa kina
 
If that the case na mimi nikiwa nina interest CBE nitashauri bodi ya chuo ibatilishe ushindi na wagombea wote wawe disqualified. Siasa vyuoni zina athari kubwa kuliko tunavyoweza kudhani.

Kubadilisha matokeo ya uchaguzi wa kidemokrasia ni kutafuta vurugu na migogoro isiyo na msingi, washauri waweke kanuni au sheria za uchaguzi zitakazo zuia kuingiza siasa za vyama chuoni.
 
If that the case na mimi nikiwa nina interest CBE nitashauri bodi ya chuo ibatilishe ushindi na wagombea wote wawe disqualified. Siasa vyuoni zina athari kubwa kuliko tunavyoweza kudhani.

mkuu una matatizo. Hata ivo we si ulishahitimu diploma yako pale?achana na interest kafanye kazi! Alafu hamna sheria yoyote inayomkataza mwanachuo kuwa na chama chake,hamna inayomkataza mhadhiri kuwa na chama ndo maana akina Zawadi Ally(ifm) aligombea ccm udiwani kata magomeni,akina dr.ngalinda ifm wamepewa V8 wanakula maisha! Acha mawazo ya ajabu ndugu ulipohitimu tulijua umekomaa! Pia mbona ccm mlipoenda dodoma sekondari mliwapa watoto kadi kibao za ccm! Tatizo ni kuwa siku izi ukisema niko ccm imekula kwako! Muulize hata aliyegombea Udom gilead terry ilikuwaje mwaka 2009, au hata ifm yule mtoto wa Abdallah kigoda walimfanyeje! Acha wawaperembe kama hamna hoja mnakalia kuimba sera za vyama wakati wanachuo wanataka mambo yaende kisomi! Mtaisoma namba!!
 
If that the case na mimi nikiwa nina interest CBE nitashauri bodi ya chuo ibatilishe ushindi na wagombea wote wawe disqualified. Siasa vyuoni zina athari kubwa kuliko tunavyoweza kudhani.

Huwezi kuzuia siasa vyuoni kwani hata mchakato wa kumpata rais wa serikali ya wanafunzi ni siasa. Pili, wanavyuo ni watu wazima wenye itikadi zao za vyama. Unaweza kuzuia lakini katika hali halisi ni sawa na kumwambia mtu aache kuonyesha imani yake ya dini wakati tayari imani hiyo ilishajengeka rohoni mwake. Mwisho, katika nchi ambazo mimi nimewahi kwenda kusoma hapa Africa na ambazo zina ustaarabu wa hali ya juu kidemokrasia zimeruhusu wagombea wa serikali za wanafunzi kutumia vyama vya siasa. Nenda Botswana ukajifunze ustaarabu ulioko huko na siyo kama ninyi huku siasa za maji taka ndo zinawasumbua.
 
Je mtoa mada unataka kutueleza Kidela ameshinda kwa hoja ya kuwa mwanachedema au kwa kuuza sera za atavyoweza kusisimamia haki za wanafunzi? Tupe ufafanuzi wa kina
Kwanachuo wanasema kidera ni mpiganaji,kwa sela na vitendo.haja ya vyama imeibuka hatua za mwisho.azikuwa sera za wagombea.Ujuwe kuwa tayari MISSO alikuwa mwenyekiti wa tawi CCM PALE CBE,kwamaana hiyo wanaccm walimpendekeza Misso Kwa maana hiyo wakupingana naye tena SIYO MWANACCM ni chama tofauti.Japo wote wanatoka mkoa mmoja wa Mara.
 
If that the case na mimi nikiwa nina interest CBE nitashauri bodi ya chuo ibatilishe ushindi na wagombea wote wawe disqualified. Siasa vyuoni zina athari kubwa kuliko tunavyoweza kudhani.
mwanachuo anakatazwa kushiriki siasa ki vipi wakati urais wa chuo nao ni cheo cha kisiasa ..........
 
Je mtoa mada unataka kutueleza Kidela ameshinda kwa hoja ya kuwa mwanachedema au kwa kuuza sera za atavyoweza kusisimamia haki za wanafunzi? Tupe ufafanuzi wa kina
Pia kwa ali ya sasa maisha yamekuwa taiti kama kunaushindani uongozi mkuu CCM aina mvuto,Mfano UDOM uchanguzi umekuwa wa vurungu kwa kutotaka wapenzi wa CDM kuongoza pale,UDSM aliyeshinda urais alikuwa CDM baada ya kushinda yasemekana kapewa chochote ka kurudi CCM HAPO HUPO
 
hivi siku hizi ruksa kusema mi niko ccm au cdm au chama fulani vyuoni? Kama ni hivyo, congratulation mr president elect.

Hope hutawaangusha wenzako! Tunaomba utuwekee na data kamili, kashinda kwa ngapi?

Vipi ma - vx au landcruiser kutoka kwenye magamba hazikuwa zinaleta mzigo wa kutosha kuwalewesha wanafunzi?
kidera 1240 na misso 1030
 
pia kwa ali ya sasa maisha yamekuwa taiti kama kunaushindani uongozi mkuu ccm aina mvuto,mfano udom uchanguzi umekuwa wa vurungu kwa kutotaka wapenzi wa cdm kuongoza pale,udsm aliyeshinda urais alikuwa cdm baada ya kushinda yasemekana kapewa chochote ka kurudi ccm hapo hupo
kwa hiyo chadema inamamluki wengi sana eeeh! Ni rahisi kuwanunua!
 
Kama mnaruhusu vyuo vikuu watu kuoa/kuoana/kuolewa kwa nini tusiruhusu wakafanya siasa na kuwa wanavyama,hivi wanadhani walioko vyuoni bado ni watoto?ni simple tu,mnategemea nini kada wa ccm anaposimama kugombea nafasi kwa mfano ya uwaziri wa mikopo mbele ya sera ya mikopo inayotokana na sera za chama chake?ataenda kinyume na sera za chama chake hata kama wanafunzi watakuwa wanaumia?na labda wanafunzi wanataka kufanya mgomo huyu si anaweza kutumiwa na serikali ya ccm kuwasupress wanafunzi wasiweze kudai haki zao?

Sehemu kama hii ni lazima aingie mpinzani ili yeye akaibane serikali vilvyo kwa maana japo serikali ni yake lakini haitokani na chama chake

alafu vyuoni ni sehemu nzuri sana katika kuwapa nafasi wanafunzi kuanza kujua kiundani na kufanya siasa,hapa wanafanya tafiti za vyama,aina za vyama na sera za vyama,wanapata nafasi za kutetea sera za vyama hvyo katika kuhusanisha na sera za vyama vilivyoko kwenye nchi zao
 
kwa hiyo chadema inamamluki wengi sana eeeh! Ni rahisi kuwanunua!
Mkuu hapa dhama za ccm vyuoni zimekusha.wanachuo wanaingia na mlengo wao.kwa hiyo chachu ya mageuzi inatoka vyuoni.Ndomaana vyuo vilifungwa wakati wa kampeni za uchanguzi ? swali?why?
 
Back
Top Bottom