Udsm kwanukia mgomo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udsm kwanukia mgomo!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by VUTA-NKUVUTE, May 5, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Hivi sasa wanafunzi wa UDSM Campus ya Mlimani wameanza mchakato wa mgomo.Sasa wapo chini ya Jengo la Utawala wakisoma maazimio yao.Wanapanga kwenda Bodi ya Mikopo kesho.......
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Wanadai malipo ya pesa za kujikimu ambazo zilipaswa kulipwa kwao.Tayari Utawala wa Chuo ulishawakata fedha walizozikopa Semista iliyopita.Sasa wako barabarani,ingawa hawajaaifunga,ielekeayo Mwenge.Wanaimba'kama sio juhudi zake Nyerere.......'
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Nipo kwenye daladala naenda chuo, sijui nishuke?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,905
  Trophy Points: 280
  Hapa hadi kieleweke kwa nini wameikata pesa?
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  kwa nini wasiimbe kama siyo juhudi za TANU na CCM hasa CCM maana ndo bado ipo, Mzee Nyerere hayupo
   
 6. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280
  Wamekatwa ela ya boom la kwanza?
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Ngoja nikawape support!
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  tomorrow is tomorrow wakuu,i'm in
   
 9. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  hali hapa ni shwari.haijulikani bado kama patachimbika au la...
   
 10. p

  papachu Member

  #10
  May 6, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua ukifuatilia sana hii nchi ni ya watu wachache wanao jifanya wao ni miungu watu nikifuatilia mgomo wa college of informatics udom chanzo ni pesa za special fuculty requirements ambazo kunakikundi viongozi wachache wamechakachua fedha leo hii wanasema wanachuo wamegomea laptop,kesho utasikia udsm wamegomea mambo yasiyo ya msingi hivi kweli mtu anaweza agome pasipo sababu za msingi,naomba raisi wa nchi fuatilia kwa kina hii migomo,kama udom college ya iformatics kumejaa viongozi wasio waadilifu na wanaongoza kwa ubabe hasa principle wa college ya informatics.tunaomba tume itumwe hapo chuoni
  poleni sana wana udsm akuna kulala hadi kieleweke nchi hii bila mgomo akuna haki,wasomi migomo,madeleva migomo,walimu migomo,wauguzi migomo,je nchi hii inakwenda wapi :israel::bange:
   
 11. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Zamani vyuo vikuu walikua wanaguswa na matatizo yoote ya umma na kugoma kushinikiza yapatiwe ufumbuzi siku hizi hawa vijana wanakula chips na yai la kisasa ni waoga balaa wako ki mkopo zaidi!!!
   
 12. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,086
  Trophy Points: 280
  Msituangushe madogo,kwenye nchi kama yetu hii ambamo viongozi wanatamani hata kunyonya damu za wananchi wao kwa uroho ni sharti kuingia barabarani,kupiga kunji mpaka kieleweke,

  hapo UD ni pagumu sana,tulifanya hvyo 2007,2009. lakini pia mnatakiwa kujitambua kwamba ni kupitia hapo (NKRUMAH) ndo tunaweza kupata taswira ya wasomi wa taifa letu,wanaoweza kuchambua mambo na kudai haki zao kwa hoja na kwa vitendo,The delayed right is the denied right! Solidarity...
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  unaogopa?
   
Loading...