Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Leo majira ya saa sita usiku kumetokea chatu mkubwa hapa udom social science je ni sahihuhi kwa watu kwenda kujazana na kumchezea badala ya kumuua? Je kunamadhara gani kwa watu kumchezea chatu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Unajua matatizo ya college of informatics udom ni mengi nimeonana na wanachuo wa college ya informatics wameeleza matatizo yao mengi sana likiwemo la wenzao kila mwisho wa mwaka wapatao 70 hufeli...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana-hali ya hewa naomba msaada kwenu, katika mkoa wa Morogoro ni tarehe ngapi mvua zilinyesha na kwa nchi ngapi katika mwezi wa April na May 2011. Nawakilisha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za wakati wadau wa elimu.Naomba kuuliza JE,watakaofanya mtihani wa kidato cha sita mwaka 2012 watatumia silabasi za zamani au mpya?JE,Silabasi mpya inapatikana wapi?Naomba kama kuna mtu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani taifa linakwenda wapi?? Diploma ya Nurse ilikuwa miaka minne (4) lakini serikali yetu ya awamu ya nne ikapunguza na kuwa miatatu (3) na benchi ya kwanza watamaliza hivi karibuni. Kama hiyo...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kuna mathara ya kuflash sim na kama yapo ni yapi nta shkuru
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Unajua nimefuatilia kwa kina vyanzo nya matatizo na migomo chuo cha udom hasa iliyopelekea mgomo mkubwa ambao unawafanya watoto wa wakulima wapatao 1200 wapo mtahani kama wazurulaji kwa kile...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau, kwanini UDSM inalazimisha kusherekea miaka 50, tangu kuanzishwa kwake, ilhali mwaka 1995 chini ya Chancellor wao wa Kwanza JK Nyerere walisherekea miaka 25? are they more right today than...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni mawazo ya kuandika barua ya kuahurisha mtihani wangu wachuo, coz nimepata msiba. kama kuna mtu anayo aindike tu mimi nitabadilisha baadhi ya vitu. wanajamvi nisaidieni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndungu zangu wana JF,St. Mathew Secondary ni moja ya shule zilizo na sifa kubwa jijini Dar es salaam lakini vilevile ni shule ambayo ina mafisadi kupita kiasi kwa wale wenye ndugu zao wanosoma...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tukumbushane ya muhimu
0 Reactions
27 Replies
10K Views
Wanajamii tumekuwa tukilalamika sana juu ya ufaulu wa wanafunzi juu ya hasa masomo ya sayansi bila kutoa suluhisho la tatizo hilo hasa kwa shule za kata. Sisi hapa Ngara mkoa wa kagera kama vijana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sina hakika lakini hebu tuiangalie hii imekaaje? Kuorodhesha vyuo vikuu kulingana na umaarufu ni desturi inayokua kwa kasi sana katika sekta ya elimu ya juu. Orodha hiyo, inayojumuisha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama ilivyo ada katika uchaguzi mbalimbali wa vyuo vikuu vya hapa nchini umetawaliwa na tofauti za kisiasa, yaani CCM na CHADEMA. Katika chuo cha Tumaini ya mkoani Iringa Jana jumamosi kulikua na...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
At Home Tuition provides online tutoring and homework help in Math, Science, Algebra, Geometry and Calculus. Online Test Prepare for TOEFL, IELTS, SAT and GMAT Courses. We have designed a unique...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi hawa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu huwa wanazingatia vigezo vya wanaotakiwa kupata loan (mkopo) au vipi? Mbona failures wengi tu wana mkopo wakati wenye two zao wamechakachuliwa! Mi nakosa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanafunzi wagoma kufanya mtihani WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Kibaha iliyo mkoani Pwani wamegoma kwa siku nne kuendelea na mitahani ya ‘Mock’ kwa madai kuwa maswali mengi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
jaman natafuta field nasoma civil engneering
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wapendwa, naomba mnisaidie kujua ada ya Muhimbili university of healthy and allied science kwa kozi ya Masters. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Democracy ichukue mkondo wake jamani,hao wazee wa gamba wanatakiwa wajue kua zama hizi wasomi rushwa haina nafasi,watu wanajiamini ndio maana hawataki huo mchezo wenu mchafu wa kutoa rushwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom