Wakuu baada ya kumaliza PCM form 6 nilichagua kujiunga na kozi ya Mechanical kwenye vyuo vinne Tanzania, ngazi ya Bachelor Degree
Selection zimetoka. Vyuo ni NIT, DIT, MUST na ATC
ATC nimekosa...
Katika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT...
Mwandishi mahiri wa vitabu vya lugha ya kiingereza, mmiliki wa shule ya Perfect Vision na Mwanasiasa mahiri tutakukumbuka daima.
SAME MASHARIKI tumepata jembe 2025-2035.
MUHIMU: Ni Kwa vyuo vya kodi zetu / vya serikali, level ya vyuo / taasisi zinazotoa degree, Open University kipo kila mkoa lakini ni maalum zaidi kwajili ya waajiriwa, hawaingii madarasani...
Kozi zinazotolewa CNMS hazina ajira moja kwa moja tofauti na kwenda kuwa Lecturer Chuoni.
Mfano ni Bsc. Physics na Bsc. Biology. Unakuta mtu umebobea kwenye masomo magumu ya Sayansi bila kuwa na...
Sio viumbe hai wote wana damu moja inayofanana rangi
Ingawa mara nyingi tunafikiria damu kuwa nyekundu kabisa, jamii ya wanyama inaonyesha wigo mzuri wa uhandisi wa kibiolojia.
Rangi ya damu...
Kama kuna chuo cha ajabu kwa kuwa na utitiri wa kozi ambazo hazina msingi wowote katika soko la ajira basi UDOM ni kinara. Kuna kozi huenda hujawahi kuzisikia au hutazisikia popote duniani lakini...
Kilio cha muda mrefu cha Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Longido cha kutokuwa na bwalo la kisasa kimepata ufumbuzi baada ya Serikali kuahidi kutoa zaidi ya Shilingi Milioni 700 kwa ajili ya ujenzi...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya nchini, kimeratibu kikao maalum cha kitaifa kilichowakutanisha wataalamu wa radiolojia na tiba ya mionzi kwa lengo la...
Naomba kuuliza kama mtu umejiajiri na unatamani kujiendeleza kimasomo kwenye fani ya usimamizi wa fedha ...ni Bora kusoma kipi kati ya hizo program mbili na kati ya hizo ni ipi ambayo itakupa muda...
Habari,
Napenda kuwapongeza kuwa sauti yetu wananchi Mungu akubariki sana.
Samahani naomba utupazie sauti wanafunzi wa postgraduate UDOM tunanyanyasikaaa, mtu ameshamaliza utafiti wake...
Nadhani humu Kuna wazazi/walezi watapitia ujumbe wangu.
Kama una mtoto anamaliza kidato cha sita mwaka huu na anataka ajiunge na ualimu mshauri akasome diploma ya ualimu akikataa basi muache...
Pale Kibiti Boys Secondary School Mwalimu Mkuu na baadhi ya Walimu wao fimbo imekuwa ni njia ya malezi, hili suala imekuwa too much.
Kuna muda Wazazi na Walezi wa Wanafunzi wanaosoma hapo walitoa...
Uongozi wa Chuo Kikuu cha UDOM uongeze umakini mkubwa katika usimamizi wa masomo ya postgraduate.
Wanafunzi wengi wa postgraduate wanacheleweshwa kimaksudi na kulazimishwa kulipa pesa nyingi za...
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA NA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)
KUHUSU MALALAMIKO YA NYONGEZA YA ADA YA EXTENSION KWA WANAFUNZI WA SHAHADA YA UMAHIRI (MASTERS) –...
Kumekuwa na wimbi kubwa la wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati kuhitimu elimu zao bila kuwa na ujuzi wa kivitendo katika taaluma walizozichagua. Hali hii imesababisha changamoto kubwa mitaani, hasa...
Habarini wakuu.
Naomba kusaidiwa kimawazo, Mimi ni muhitimu wa Diploma in Accounting and Finance mwaka 2014 na tangu 2016 mpaka sasa ni muajiriwa as an accountant katika taasisi (private)...
Wakuu habari za leo!
Natumai mu wazima wa afya.
Wapendwa naomba niwashirikishe jambo kidogo kwa ufupi mimi ni IT Professional nafanya kazi moja ya kampuni za private hapa mjini Dar, nimekua...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya kitaifa ya usalama wa mtandao ya Cyber Premier League (CPL), baada ya timu yake ya wanafunzi watano, S4LV4T0R3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.