Mtihani wa kidato cha sita, takwimu zinaonesha kuwa ufaulu kwa watahiniwa wa shule ni asilimia 99.9, ambapo watahiniwa 125,056 kati ya 125,320 wamefaulu kwa kupata madaraja ya I, 2, 3 na 4."...
Wanafunzi wa CBE campus ya Dodoma NTA LEVEL 4, 5 na 6 tupo kwenye preparation week kwaajili ya mtihani wa kumaliza semister ya pili ila course work hatujapata na baadhi ya waalimu hawajakamilisha...
Bodi ya mikopo imekuja na mfumo tofauti tunapata changamoto kwenye upande WA disability form ukiwa unaomba wanahitaji reference number wakati hizo hatuna tunatumia form kutoka kwa DMO au RMO...
Huyu dogo alimaliza form six mwaka 2016 akafeli, sasa karudia sahivi kafaulu ana mawazo eti ataweza, pewa mkopo mana kwao hawana uwezo na anataka kusoma md, nikamwambia ngoja niulize wadau.
Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2024/25
Makala hii inasaidia kuelewa ni kozi zipi ambazo ni chaguo bora, hasa kama bado hujaamua unataka kusoma nini. Shahada...
NECTA wametangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2026 huku wakieleza kuwa, ufaulu umeongezeka. unaweza kuyatazama matokeo hayo kwa Kugusa Hapa.
Baada ya kuona matokeo, unaweza kuuliza swali...
Wenye ufahamu tupeane maujuzi kwani waswahili husema Fikiri kabla ya kutenda
Mtumishi akishafanyiwa recategorization, kutoka utumishi wa idara moja kwenda nyingine, nini hatima ya daraja la...
Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi
Naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo?
Nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada.
Habarini wakuu.
Msaada kidogo.
Nina elimu ya Diploma ya ugavi na manunuzi.
Sasa nataka kurudi kusoma,ipi nianze nayo niende kusoma shahada alafu baadae nimalizie mitihani ya bodi au niingie kwenye...
Jana, Jumatatu tarehe 29 Juni, na leo Jumanne tarehe 30 Juni, Chuo kinaendesha uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi. Hata hivyo, ukifuatilia namna uchaguzi huo unavyoendeshwa, kuna maswali mengi...
Ujumbe aliopewa musa wa kuvua kiatu alichotoka nacho kwa farao,kwamba mahala pale ni patakatifu ulimaanisha kiatu Gani?je ni kiatu kama kiatu Cha kuvaliwa mguuni au ni Nini kililengwa.Je mahala...
Sasa natimiza mwaka wa pili tangu niajiriwe serikalini.
Nataka kuongeza elimu maana niliajiriwa na Form Six.
Nafanya kazi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, nipo Zanzibar. Kwa mujibu wa kazi...
Kuna mambo yanaendelea chuoni hapo mpaka unajiuliza, hiki chuo kina wenyewe kweli? Na wanafunzi wamekaa kimya, mpaka unajiuliza tunazalisha wasomi wa namna gani?
Jumanne tarehe 30 June, wamefanya...
Habari za Leo wakuu,
Naombeni kuuliza kati ya hizo kozi mbili tajwa ni ipi ina uwanja mpana wa ajira kwa hapa Tanzania?
Na ni ipi ipo wide?
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.