Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hiyo ni Chuo Kikuu Cha UDOM mazingira ya vyoo ni mabaya yaani inatisha zinaweza pita hata siku nne bila usafi kufanyika, na hapo watu mnalipa accommodation fees. Hii hali ni ya muda mrefu sana...
0 Reactions
5 Replies
339 Views
Mdau, kuna madai mazito yanayohusu Murgwanza Institute, chuo cha elimu ya kati kinachomilikiwa na Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Kagera, kilichopo Wilaya ya Ngara. Inadaiwa kuwa wakati wa...
0 Reactions
1 Replies
93 Views
Mimi ni mdau wa elimu na ninaomba utambulisho wangu ubaki kuwa siri kwa sababu za usalama. Naomba mamlaka husika zifanye uchunguzi wa kina kuhusu mwenendo wa Mkuu wa shule huyu kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
105 Views
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) linashindwa na linatuchanganya kikawaida shahada ya uuguzi na ukunga ni miaka 4 na internship mwaka mmoja jumla mitano ila Chuo cha Agakhan wanatoa...
2 Reactions
28 Replies
523 Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la vyuo vya mafunzo ya ufundi hasa vya private na baadhi vya taasisi za dini ambazo hazitendi haki kwa jamii. Mfano kutoa vyeti feki na huku bado wakiendelea kufanya hiyo...
2 Reactions
4 Replies
319 Views
Kutoka GEITA-Tanzania, napenda kuiomba mamlaka ya ufundi Stadi Veta kurekebisha mifumo yao ya matokeo wanachelewesha mno, yani toka mwezi December 2025, tulifanya Mitihani ya CBA na NABE mpaka...
0 Reactions
1 Replies
165 Views
VETA HQ Tunaomba Wizara ya Elimu na Bunge itusaidie kujua kuhusu Utaratibu wa kupata Vyeti Mbadala Kwa level 2 na level 3 Maana kila Tukifatilia VETA Makao Makuu Tunaambiwa Wanasubiri Sheria...
0 Reactions
1 Replies
136 Views
Leo nlikuwa napitia baadhi ya mitihani yangu ya shule ya Chekechea nimekumbuka sana wadau au classmates zangu wa Chekechea katika kindergarten ya Step Up Nursery School, tulikuwa tunavaa shati za...
1 Reactions
6 Replies
118 Views
Je, unahitaji mwalimu bora wa kumfundisha mwanao nyumbani? Sisi tupo kwa ajili yako! Tunatoa huduma za Home Tuition kwa wanafunzi wa: ✅ Nursery & Kindergarten ✅ Standard I–VII ✅ Form I–VI ✅ Vyuo...
1 Reactions
3 Replies
96 Views
Kwa wale tunaotoka DIPLOMA Kwenda DEGREE , Mwenye changamoto yoyote inayohusiana NA jinsi ya Kupata AVN NUMBER Nicheki kwa namba Hizi Tusaidiane
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naitwa Mr Avn number solutions kwa Tatizo lolote La Avn number unalokutana nao lol wakati WA maombi karibu the Mt online stationary Tukuhudumie 0622569980 ✅ Tunafanya maombi ya Avn number ✅...
0 Reactions
2 Replies
92 Views
👉Habari tunafanya application za Maombi ya leseni za Afya Clinical medicine Hprs, Pamoja na Avn number, 👉Pia Application za Vyuo 👉 Application za Maombi ya Mkopo WA elimu ya juu 👉 Application za...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Naomba kufahamu kama kuna tofauti yoyote kati ya Ordinary Diploma in Medical Clinical Officers na Diploma in Medical Clinical Officers. Pia, je, HESLB inatoa mikopo kwa wanafunzi waliohitimu...
0 Reactions
3 Replies
181 Views
Anonymous
Naomba mnisaidie kupaza sauti kuhusu changamoto inayowakabili wahitimu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), hususan wanafunzi wa Diploma in Adult Education. Mimi ni mwalimu niliye kazini...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Vyuo vingi vya makanisa vimepteza dira, zamani vilikuwa vinagusia masomo ya dini lakini sikuhizi vimefuta. havina utofauti na vyuo visivyo vya dini. Kwa upande wa wasabato niwapongeze kwa...
6 Reactions
10 Replies
730 Views
G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana. Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S...
3 Reactions
23 Replies
288 Views
Anonymous
Hello Nina mwanangu ambae Siku zote alikua na ndoto za kusomea Diploma ya uuguzi. Lakini kutokana na kukosa vigezo Ikabidi ahangaike kutafuta D za masomo ya Sayansi kwa Miaka miwili mpaka...
2 Reactions
13 Replies
490 Views
Anonymous
Habari za kazi. Naomba kuwasilisha changamoto inayowakabili wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) kuhusu ada kuelekea mitihani ya mwisho ya muhula wa pili wa masomo, inayotarajiwa kuanza...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
NACTE na HESLB, mbona hampokei simu wala kujibu barua pepe? Kama huduma hizo hazitumiki, ni bora mziondoe kuliko kuwaacha wananchi wakipoteza muda wakijaribu kuwasiliana nanyi bila mafanikio.
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Nazungumza hapa nikiwa ni mmoja wa wanaofuatilia suala hili na ninaomba mamlaka husika zilichunguze kwa kina, baadhi ya wanafunzi wa University of Dar es Salaam (UDSM) tuliingiziwa fedha za mkopo...
7 Reactions
58 Replies
1K Views
Back
Top Bottom