Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Viongozi walioteuliwa kuingoza TAHLSO wengi wao si wanafunzi wa vyuo washamalza masomo wapo mtaani jambo ambalo ni kinyume na katiba ya TAHLSO. Kuna matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji mwingi...
0 Reactions
7 Replies
177 Views
Naombeni MSAADA nahitaji kuomba mkopo heslb diploma kozi ya dental naombeni mnisaidie mambo gani yanahitajika hapo Natanguliza 🙏🙏🙏🙏
0 Reactions
1 Replies
81 Views
Kuna tabia ya baadhi ya Lecturers wengine hapa chuoni UCC UDSM, tena ni kikundi cha Lecturers inavyoonekana ni wanajuana wanachokifanya, kuanzia kwa Principal Mr. Aron na Mr. Kabigi sana sana...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Tafsiri halisi ya malipo haya ni ipi? Je, ni kwamba Serikali imeshindwa kugharamia kikamilifu utekelezaji wa sera ya elimu bila ada, au shule zimebaini kuwa fedha zinazotolewa hazitoshelezi...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Wakuu habari zenu. Kuna binti alimaliza kidato cha nne 2022. Lakini alisoma Art subjects, sasa anatamani kusomea afya awe nurse. Sasa anauliza kama anaweza kusoma QT masomo ya science ili apate...
0 Reactions
3 Replies
497 Views
Habari za asubuhi wadau Nahitaji MSAADA wa kupata chuo huko kwenye mitandao mingine naona matangazo mengi kuhusu hiki chuo vipi wakuu kinafaa au ndoa kizuri chajiuza.......
0 Reactions
0 Replies
91 Views
KARIBU CHUO DIRECT* Hiki ni Kikundi Rasmi cha Msaada kwa Waombaji wote wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Tanzania. Huduma Tunazotoa: 1. Mikopo ya HESLB- Maombi kamili, marekebisho ufuatiliaji 2...
0 Reactions
1 Replies
124 Views
Wajuzi wa hizo kazi naomba msaada wenu kwa mwenye kufahamu au kuwa na taarifa. Baada ya kumaliza kazi zangu za Kila siku huwa nakuwa na muda kidogo ambayo naona kama unapotea. Sasa nahisi kama...
2 Reactions
4 Replies
231 Views
Mei 25, Mdau alipost picha za muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, akaonesha jinsi hali ilivyokuwa mbovu na ya kusikitisha na...
1 Reactions
4 Replies
163 Views
Anonymous
Wahitimu wa Chuo cha Kilimanjaro College of Health and Allied Science (KICHAS) hatujapata vyeti lakini tukiulizia wanasema chuo chetu kilisahaulika. Wahitimu wa Mwaka 2025, tumeuliza uongozi wa...
0 Reactions
4 Replies
197 Views
Anonymous
Sisi wataalamu wa maabara(certificate hadi degree) nchini Tanzania ambao tulifanya Mtihani wa Leseni kuanzia march 15 hadi april 01(certificate hadi degree) tumecheleweshewa kupewa matokeo kwa...
1 Reactions
3 Replies
208 Views
Habarini wajuvi. Ninaomba msaada wa channel za binti yangu kuhamia Benjamin Mkapa High School kwa kidato cha 5. Binti amepangiwa Mpemba Sec huko Songwe. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
6 Replies
199 Views
Kuna Mwalimu chuo kikuu mzumbe ndani ya Morogoro anafanya elimu Kama Biashara anatoa assignment ambayo tunatakiwa kuondoka Zaidi ya page 80 Na haturuhusiwi kuprint eti tukusanye softcopy Kwa CR's...
7 Reactions
40 Replies
760 Views
Habari wadau.. Naomba tuambiane ukweli,elimu yetu inakosea wapi? UDSM ina College of Fine and Performing Arts ambayo inatoa degree za uchoraji, music, movie na other performing arts. Imeanzishwa...
6 Reactions
69 Replies
13K Views
Habari za majukumu wana-JamiiForums? Naomba msaada wa kufahamu masomo rasmi yanayofundishwa kwa sasa katika ngazi ya Elimu ya Awali (Nursery) na Shule za Msingi (Primary) kwa mfumo wa English...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Anonymous
Naomba wakubwa mtusemee labda nyie watawasikiliza. Kuna ucheleweshwaji wa utoaji vyeti vya taaluma usio na sababu ya msingi katika chuo cha usimamizi wa fedha IFM hii inatuwia vigumu tunaotoka...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Anonymous
Kutoka Chuo cha KIUT Dar es Salaam, wanafunzi wa corse ya Bachelor of Pharmacy mwaka wa 4 na 3 tunakumbana na changamoto ya mwalimu mmoja ambae somo lake (pharmacognosy)mpaka uzunguke mbuyu ndio...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Anonymous
WITO KWA TCU: KUTATHMINI UPYA UBORA WA ELIMU KATIKA BAADHI YA VYUO VIKUU VYA BINAFSI TANZANIA Na Mdau wa Elimu ya Juu Tanzania Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika...
2 Reactions
1 Replies
271 Views
Ushauri kwa Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Wanaomaliza Kidato cha Nne Kwanza kabisa, ninawapongeza wanafunzi wote ambao wamefanikiwa kumaliza kidato cha nne na kuchaguliwa kuendelea na masomo ya...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kanuni kumi na tatu za imani zimejumuishwa katika kila kitabu cha maombi cha Kiyahudi, na husomwa kama wimbo wa kiliturujia mwishoni mwa ibada. Usomaji huu unajulikana kama kiashiria cha ufafanuzi...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Back
Top Bottom