Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Anonymous
Kuna tabia ya VETA kipindi cha kutunga na kusahisha mitihani, wanawatumia wastaafu na watumishi wasiokuwa wa VETA. Mfano: mtihani wa mwezi wa sita wa Level III uliofanyika 2026: kuna kituo x...
0 Reactions
5 Replies
135 Views
Anonymous
Wanafunzi tuliomaliza masomo ya Diploma tunaomba msaada kuhusu changamoto ya kucheleweshewa vyeti vyetu. Kila tunapofika chuoni kufuatilia vyeti, tunaambiwa kuwa mashine ya kuchapisha au kutoa...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Nina mtoto wangu amemaliza form four, amechaguliwa kwenda kusoma mining engineering chuo cha madini dodoma (MRI) nimejaribu kufuatilia website ya chuo hawana, nimepiga simu zao +255 26 230 0472 za...
3 Reactions
36 Replies
640 Views
Habari zenu wakuu. Nimesoma HGL na katika kutafuta chuo nimeona TIA kuna kozi ya Bachelor in Economics and Finance. TCU nna kigezo cha kusoma lakini Sina msingi mzuri wa Mathematics, hivyo...
2 Reactions
11 Replies
283 Views
Anonymous
TUNAOMBA SERIKALI UFANYIKE UCHUNGUZI HURU KUPITIA TCU KWA WANAFUNZI WANAOSOMA UDAKTARI BINGWA MIFUPA (ORTHOPEDICS ) BUGANDO Ni kwa muda mrefu sasa wanafunzi wa udaktari Bingwa mifupa Bugando...
0 Reactions
3 Replies
448 Views
Ajira mpya Walimu wilaya ya Babati vijijini hatujalipwa hela za kujikimu tangia tuingie kazini tuna miezi mitano mpaka Leo na hutujui hatima yetu. Tumihoji wanasema HELA haijafika lakini Afya...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Mtoto wangu anasoma shule ya sekondari MGULASI, iliyopo kata ya CHAMWINO, MANISPAA YA MOROGORO. (Anaingia kidato cha pili) Wakitumia mtaala mpya, ukianza rasmi mwaka 2025. Mtoto wangu alichagua...
23 Reactions
64 Replies
2K Views
Tunawafikisha Walimu Bora Mahali Ulipo – Tanzania Nzima! Je, unataka kuongeza ufaulu wa mtoto wako au kujifunza ujuzi mpya ukiwa nyumbani? Elite Home Tuition Services ndiyo suluhisho sahihi...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Je, unatafuta shule ya awali yenye viwango vya kimataifa, mazingira salama, walimu wenye uzoefu na elimu inayomjenga mtoto wako kwa mafanikio ya maisha? Karibu Sprouts Preschool, iliyopo Mindu...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Declaration of interest, Sijasoma undergraduate Udsm, Nimeishi pale kwa miaka kadhaa miaka ya mwishoni mwa 1987 mpaka Mwanzoni mwa miaka ya 1997 sio permanent bali kwa kuingia na kutoka tu, Mara...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Anonymous
Mimi ni mzazi wa mwanafunzi anayesoma katika shule yenu. Ninaomba kuwasilisha hoja yangu kuhusu malipo ya Shilingi 90,000 yaliyotakiwa kwa ajili ya masomo ya ziada kipindi hiki cha likizo...
1 Reactions
3 Replies
149 Views
Anonymous
Katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kuna wanafunzi ambao tulisaini makubaliano ya ada kulipwa kupitia HESLB, lakini fedha hizo zilirudishwa HESLB. Tulipowasiliana na HESLB, tuliambiwa...
1 Reactions
7 Replies
158 Views
Anonymous
Kipengele Cha Mdhamini kwenye mfumo wa kufanya application kwa mikopo wanafunzi wa Vyuo. Kuna utaratbu wa kutumiwa OTP kwa namba ya simu ya mdhamini kisha ijazwe kwenye mfumo wa maombi ya mkopo...
0 Reactions
2 Replies
134 Views
Wakuu kwema! Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu kuna appk hizi mbili muhimu kwenye uwanja wa elimu yaani Microsoft word PowerPoint presentation Nimekaa nikajiuliza Ms unaweza kuandaa nondo...
0 Reactions
2 Replies
91 Views
Anonymous
Tunaosoma mwaka wa kwanza katika City College Mwanza tunaleta malalamiko yetu kuhusu ucheleweshaji wa kadi za bima ya afya, licha ya kwamba tulilipa ada ya bima tangu mwezi Novemba 2025. Hadi...
0 Reactions
1 Replies
81 Views
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kampala, Kampasi ya Gongolamboto, tunaomba mamlaka husika kuchunguza usimamizi wa fedha za Serikali ya Wanafunzi. Kila mwanafunzi huchangia TSh 20,000 kwa mwaka kwa...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Baadhi ya Wanafunzi UDOM wamekwama kwenye issue ya usajiri na hii ni kutokana na mfumo wao wenyewe kuna muda unakuwa mzito ukiomba ktu kinachelewa muda mwengine control numbers zinakuja mbili...
1 Reactions
1 Replies
98 Views
Mimi ni mwanachuo ninasoma bachelor of science in chemistry mwaka wa pili ila sioni future katika hii kozi kutokana na ugumu wa ajira kwa hii kozi naomba ushauri wenu
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na TISEZA @invest_in_tanzania na @sydf_tz , kimeendelea kuwajengea wanafunzi uwezo wa ujasiriamali na uwekezaji kupitia programu ya Public Lecture –...
0 Reactions
1 Replies
140 Views
Anonymous
Shule ya Msingi Mlingano, Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga kuna uhaba wa madawati, watoto wetu wanakaa chini, majengo mapya yamejengwa ila hakuna madawati, madarasa yamejengwa mwaka juzi 2024...
3 Reactions
17 Replies
382 Views
Back
Top Bottom