Dr Michael Kadeghe - Msomi, Mwekezaji na Mwanasiasa nguli

Dr Michael Kadeghe - Msomi, Mwekezaji na Mwanasiasa nguli

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,806
Mwandishi mahiri wa vitabu vya lugha ya kiingereza, mmiliki wa shule ya Perfect Vision na Mwanasiasa mahiri tutakukumbuka daima.

SAME MASHARIKI tumepata jembe 2025-2035.
 
Kama alishindwa kusimamia shule yake iwe na nidhamu kwa wanafunzi na ufaulu mzuri ataweza kuongoza Jimbo ?
Perfect vision back in days ilikuwa Kama sehemu ya danguro wanafunzi wanavushwa mchana ,shule Kama studio nop ,tunaomba ajitafakari kwanza kabla ya kuchukua hilo jimbo
 
Anne Kilango Malecela amezeeka sana, Same Mashariki inapaswa kupata Mbunge mpya
 
Miaka ile kwenye Kingereza unakutana na vitabu vya Michael Kadege, Jiografia unakutana na Msabila, Historia kuna Nyambari Nyangwine!

Hawa jamaa kama hawakutajirika kipindi kile, ndiyo basi tena. Waachie tu wenzao akina Mwamposa na wenyewe wale mema ya nchi.
 
Back
Top Bottom