Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu msaada wenu unahitajika. Kuna ndugu yangu amesoma masomo ya Arts O Level lakini hesabu yupo vizuri. Huyu ndugu yangu anataka akimaliza form six asome bachelor ya IT. Sasa anachohitaji...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wapendwa. Ambaye amefanikiwa kufanya mchakato wa kukata rufaa ya bodi ya mikopo jamani atushirikishe. Hali ikoje huko?
3 Reactions
189 Replies
20K Views
Habar za leo ndugu zangu. Mwaka 2017 nilihitimu kidato cha nne na matokeo yangu hayakuwa mazuri kiasi cha kuridhisha. Mara baada ya kupata matokeo ya alama ya D tatu, nilikata tamaa na kushindwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu habari ya November Nina dogo yuko Dodoma ndani ndani Kijiji kimoja kinaitwa Ibedya amemaliza darasa la Saba amepata wasatani wa 'D'/amefeli naomba nifahamu inawzekana akaja Dar akarudia...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mwenye anajua machimbo ya Scholarship anbayo moaka Sasa bado yako valid for this academic year naombeni. Natanguliza shukrani
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau mnaendeleaje, Kijana wangu anapenda ,course ya Aircraft Eng, nilipenda kozi aisomee nje ya nchi hasa canada, Je kuna mtu yeyote anafahamu vyuo vinavyo toa kozi hii na gharama zake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kuuliza wenye ufahamu na hiyo course ADIT (Advance diploma in international taxation) inayotolewa na chartered institute UK.
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Anonymous
Kuna wanafunzi wa Chuo Cha SUA wanadai refund ya Hela zao za ada ila tangu semester iliyopita Mpaka Leo hawajapata Hela zao. Tunaomba mzungumzie hili swala wanafunzi wapate Hela zao. Hii refund...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Wana jf nahitaji kumjua ni nani mtanzania kutunukiwa uprofesa na ni mwaka gani!
0 Reactions
36 Replies
18K Views
Nimetoka kumchukulia dogo fomu ya mafunzo ya umeme Electrical Instillation ya muda mrefu VETA Chang'ombe. Sasa ameambiwa aje kwenye interview. Kwa wale wazoefu na ambao wameshapita ni maswali gani...
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Nimefungua huu uzi baada ya kuona "dokezo" hili lililopostiwa hapa JF...
0 Reactions
5 Replies
827 Views
Alisoma: Primary: English Medium. O level: private. A. Level: government Occupation: 1. Baba: mkulima. 2. Mama: mama wa nyumbani. Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Kiswahili - A, English - A, Maarifa - B, Hisabati - A, Science - A, Uraia - B, Average Grade - A Amemaliza katika shule ya English medium Mimi baba yake ni kichwa zaidi yake ila matokeo...
27 Reactions
90 Replies
5K Views
Habari wadau wa JF, Kama mmoja ya wazazi na wadau wa elimu pia, nimejaribu kutafuta huu waraka mpya ambaoo umetolewa novemba 22, 2023 na wizara ya elimu bado sijafanikiwa kuupata. Nimechungulia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu natumaini wote ni wazima wa afya, mimi nimemaliza Diploma in Diagnostic Radiography katika chuo kikuu cha afya muhimbili (MUHAS). Malengo yangu ni kuendelea kusoma hasa kuwa cardiovascular...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wakuu, Hivi kwa wale waliosoma India Kwa ngazi ya degree Kwa kudhaminiwa Kila kitu nilikuwa naomba kujua mbinu gani iliwasaidia kupata scholarship. Scholarship walipata vipi na je...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Habari zenu waombaji. Kuna aliefanikiwa?na kuwa alieambiwa hajapata? Wengine account zinasoma error sijui nini tatizo
2 Reactions
0 Replies
884 Views
Wanabodi, leo nilikuwa napitia sera mpya ya elimu nikaona niilete hapa tuijadili. Nini maoni yako?
0 Reactions
5 Replies
740 Views
Askofu Mkuu Dk. Sylvester Gamanywa wa Wapo Mission Tanzania 🇹🇿 atatunukiwa u Profesa wa heshima kutoka Chuo cha Mipango Dodoma. Hafla hiyo ya mahafali itafanyika Novemba 4 ambapo Waziri wa Fedha...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Naomba Kujuzwa zaidi kuhusu chuo cha IAA kampasi ya DSM Msaada tutani, ninafikiria kwenda shule mwakani na chaguo ni IAA kusoma masters kwa mwaka mmoja, kuna mradi watanisapoti na kulingana na...
2 Reactions
6 Replies
949 Views
Back
Top Bottom