Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nasisitiza nashauri kama wewe huna kipaji ni mtoto wa maskini au mzazi wa mtoto maskini achana na mambo ya art unapoteza mda na fedha
2 Reactions
7 Replies
945 Views
 Habari. Ikiwa unahitaji kujifunza Kiingereza kama English beginner unakaribishwa. Hiki kipindi cha likizo cha mwezi mmoja Kama Mwalimu napenda kujitolea hasa kwa jamii yangu. Ntafundisha mambo...
1 Reactions
2 Replies
504 Views
Habari za jioni wana JF,poleni na majukumu. Nahitaji msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma ya famasia na wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa mavazi ya kawaida na wala sio sare kama wavaavyo...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
kama mada inavyojieleza wewe mwenye Nia yakujiendeleza kusoma chuo yaan open university na unakosa muda wakufika tawin Kwa ajili ya application, usijal nipo Kwa ajili Yako kukusaidia kuomba open...
1 Reactions
3 Replies
649 Views
Compare and contrast the product strategy used between Tigopesa and M-Pesa (linganisha na tofautisha njia ya mauzo wanaotumia tigopesa na m-pesa).
0 Reactions
0 Replies
381 Views
Anonymous
Wanafunzi wa UDOM college ya informatics wamekua na changamoto kadha wa kadha. 1. Ubovu wa miundombinu hasa choo kwa baadhi ya blocks(1 and 3) hali inayopelekea kushindwa kujisaidia na kupata...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani nataka kuwalipa Loan Board deni Lao sasa ninashida na loan statement ili niweze kupata control number ya kuwalipa. Kwahiyo kwa anayewe kunisaidia namna ya kuipata anisaidie NATANGULIZA...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Unahisi kwanini sikuizi watu wengi wamekuwa wakisherehekea mwenzao akifedheheshwa mtandaoni na mara zote watu wakiwa upande wa kumdhihaki yule anae chafuliwa?
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Ipi inatambulika Tanzania ,na ajira zake zipoje ,nawasilisha
1 Reactions
4 Replies
530 Views
Explain notes of business law according of human resources management?
1 Reactions
9 Replies
658 Views
Ipi inatambulika Tanzania ,na ajira zake zipoje ,nawasilisha
1 Reactions
2 Replies
647 Views
Kama usajili wako bado upo kwenye nacte lakini uliquit masomo hii inatosha kusema unaweza ukarudi na kuendeleza pale ulipoishia?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu Wana jukwaa nimatumaini yangu wote niwazima mimi nimemalizaa kidato Cha sita mwaka huu komb ya CBG nikiwa na ufaulu wa biology-C,Chemistry-C na Geography-C , ninampango wa kuaply chuo...
5 Reactions
139 Replies
12K Views
Wanafunzi wa diploma walioruhusiwa kuomba mkopo ni wa kundi gani? Vigezo ni vipi?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimepitia matokeo ya Darasa la Saba shule za serikali zinazofundisha Kwa mtaala wa Kiingereza zimekuwa zikifanya vizuri, Sasa kama watoto lugha ya Kiingereza wanaielewa kwa urahisi kwanini...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu, Hivi mbona walioomba mikopo diploma hawajapangiwa?
1 Reactions
2 Replies
512 Views
Kwa anayejua, Naweza kujifunza wapi (chuo gani) elimu hizi, Cyber security na Information Security. Kwa anae jua tafadhali.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu naweza pata full scholarship nje ya nchi kwa nchi za magharibi
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Dear researchers, Kama unahitaji msaada kwenye kufanya research Yako level ya masters au PhD or whatever level, please kindly uliza hapa na utapatiwa majibu na ushauri wa Hali ya juu. Kikubwa...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Je kuna mtu au pengine wewe umesoma degree ya electrical engineering ukakosa ajira au ukasota mtaan?.Nauliza hivyo kwa maana kuna dogo anataka aende kusoma electrical engineering mwakani mwaka huu...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Back
Top Bottom