Samwel A Asseno
Member
- Jun 27, 2019
- 14
- 3
Lugha ya china
Ata SAUT Mwanza pia wanatoa iyo course asee.!waga wanalipia elfu20 tu kwa mwakaMaster kwanza lugha yako kiswahili then kichina mkuu "kosi" ndiyo nini?, anyways pale Udsm nishawahi kuona watu wanasoma hilo somo la kichina, but sijui kama ipo hiyo course au ni part tu, unaweza fika ukaulizia vizuri
Pia umuhimu wake ni kwamba utakua unaweza kuzungumza kichina fasaha, utaweza kuajiriwa as a Chinese language translator. Au unaweza kuteuliwa kuwa balozi Wa Tanzania nchini China huhuuu
Mkuu elfu ngapi? AiseeAta SAUT Mwanza pia wanatoa iyo course asee.!waga wanalipia elfu20 tu kwa mwaka
Kwa kua nipo mwanza ntaenda kuulizia nijue zaidAta SAUT Mwanza pia wanatoa iyo course asee.!waga wanalipia elfu20 tu kwa mwaka
@Samwel A AssenoKaribu sana Confucius institute hasa UDSM ambapo utapata huduma ya elimu ya lugha ya kichina kwa ufasaha kabisa. Unaweza kusoma short course au ukaamua kusoma kozi ya muda mrefu (diploma kwa miaka miwili).
Kwa maelezo zaidi usipate taabu wewe tembelea link hii https://www.udsm.ac.tz/web/index.php/institutes/ci utapata mambo mengi toka taasisi ya Confucius.
Lakini pia taasisi hiyo inapatikana kwenye shule na vyuo vingi sana nchini kutegemea na ukaribu na mahala ambapo wewe upo.
Kwa dunia ya leo, zipo faida nyingi mno za kufahamu/kumudu hasa kama wewe ni ''mwananchi wa Dunia'' (Global citizen). Nakuunga mkono mkuu, kasome hiyo lugha.
你好Lugha ya china
你好
Nasoma hiyo program kwa ngazi ya Shahada (Degree) hapa UDOM for more information nitafute 0764531080
欢迎多多马大学孔子学院
Kuna mwanangu hapo!Mkuu naona umeiva.....
Ngoja nimfananulie kidogo mtoa mada na kumjaza hasira na motisha zaidi ...
1. 你好
Hanzi;
你好
Pinyin;
Nǐ hǎo
English:
Hellow, Hi
Kiswahili:
Habari yako, uko poa, mzima ?, hujambo
2.欢迎多多马大学孔子学院
Hanzi;
欢迎多多马大学孔子学院
Pinyin;
Huān yíng duō duō mǎ dà xué kǒng zǐ xué yuàn
English:
Welcome to Confucius institute at the University of Dodoma.
Kiswahili:
Karibu katika taasisi ya Confucius chuo kikuu Dodoma.
Kazi kwake