Anthony Kabeho
Member
- Apr 12, 2018
- 72
- 38
Hii course ya Data Science ndio ikoje inamaokoto na je ajira zake zinapatilana wapi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu unaanza kuwaza maokoto kabla hata hujaripoti chuo!
Kila kozi ina maokoto kama uko smart kichwani na una connection. Sasa maliza hiyo data acience alafu kichwani uko empty uone kama wewe haujafanywa maokoto.Hii course ya Data Science ndio ikoje inamaokoto na je ajira zake zinapatilana wapi?View attachment 2872385