Kuhusu Ubora wa Elimu ya Mtandaoni

Mwalimu Ntuntu

JF-Expert Member
Jun 3, 2016
305
279
Habari wanajukwaa hili muhimu,

Leo nimekuja na hoja ya kutaka kujua juu ya Elimu inayopatikana kwa njia ya mtandao (on-line) hasa kutoka vyuo vya nje.

Je, unaweza kutambulika kama mhitimu?

Je, ukiileta kibongo bongo hiyo shahada ya nje TCU hawawezi kuleta zengwe?

Msaada kwa aliyepitia huu uzoefu tafadhali.

Ahsanteni
 
Hivyo vyuo vinatambuliwa na mamlaka husika??

Maana hata OUT ni elimu ya mtandaoni ila kinakubalika kutokana na kukidhi vigezo

So cha msingi chuo kiwe official, fanya tafiti za kutosha ikiwemo kuangalia kama mamlaka za Tanzania zinatambua hicho chuo
 
Nashukuru sana. Nitafanyia kazi
 
Back
Top Bottom