Wadogo zangu msisome Degree za Afya na Elimu

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,205
3,009
Hi wakuu,

Mimi ni mwananchi wa kawaida nimejiajiri maisha yanaenda.
Nakuja na ushauri wenye ushaidi kuonyesha ya kwamba kusoma degree ya ualimu na afya Tanzania, ni kupoteza muda hasa wanaopenda kuajiriwa serikalini.

kwenye ajira za ualimu nina wadogo zangu. Wale wote waliosoma certificate in primary education wote wameajiriwa, Waliitimu (2016 and 2017 )

Dogo langu mmoja aliferi form six hakupata marks za kwenda chuo kikuu, alienda Monduli teachers collage na kisoma diploma in secondary aliitimu 2019, ameajiriwa na serikali.

Sasa kuna watoto wa ndugu zangu wamesoma degreee za ualimu wa sayansi, mmoja kamaliza 2016 na mwingine 2017, wote wapo kitaa wamepauka hawana ajira. Serikali haitaki kuajiri walimu wa science wa degree, wakati ndo walifahuru vizuri.

Sasa baada ya maisha kuwapiga wenye degree imebidi wadogo zao waliosoma certificate na kuajiriwa serikalini wachukue mkopo na kuwapa kaka zao ili wawe ata machinga.

Kwenye afya hivyo hivyo, serikali kama ni nursing inajaza wenye certificate na diploma, wa degree wanabaki kitaa na kipauka.

Wadogo zangu someni certificate na diploma za elimu na Afya kama unataka kupata haraka ajira za serikali.

NB: serikali ya CCM na Samia haitaki wataalamu wenye shahada.

Ukibisha njoo na data
 
.
F0sJhL2XoAQrzOF.jpeg
 
Hizo degree unasoma ukiwa tayari umeajiriwa, sasa unasoma ukiwa bado hajaajiriwa nani atakuajiri, kwa bajeti ipi?

Hawa wenye certificate wanasoma kiulaini mpaka wanazipata hizo degree huku wakiwa na ajira wanasubiri tu wapandishwe madaraja na miundo ya utumishi wao
 
Una ushahidi wa madaktari na wauguzi wa shahada walioko mtaani bila kazi?ni kweli kipindi cha Magufuli kwenye eneo la Afya watu walikua mtaani,lkn kwa sasa sio wengi...sifahamu kuhusu Elimu.
 
Hizo degree unasoma ukiwa tayari umeajiriwa, sasa unasoma ukiwa bado hajaajiriwa nani atakuajiri, kwa bajeti ipi?

Hawa wenye certificate wanasoma kiulani mpaka wanazipata hizo degree huku wakiwa na ajira wanasubiri tu wapandishwe madaraja na miundo ya utumishi wao
Hueleweki
 
Tz inataka kuwa kama Nigeria dah ni hatari sasa najiuliza inakuwaje mtu anaomba chuo mwaka huu bado akaomba education tena masomo ya arts hii imekaaje si bora mtu asisome tu maana kama ni kujiajiri huwezi somea education useme uje ujiajiri bora usomee hata IT, kilimo, ufugaji, uvuvi, veta unaweza jiajiri ila sio ualimu jamani dah
 
Hi wakuu,

Mimi ni mwananchi wa kawaida nimejiajiri maisha yanaenda.
Nakuja na ushauri wenye ushaidi kuonyesha ya kwamba kusoma degree ya ualimu na afya Tanzania, ni kupoteza muda hasa wanaopenda kuajiriwa serikalini.

kwenye ajira za ualimu nina wadogo zangu. Wale wote waliosoma certificate in primary education wote wameajiriwa, Waliitimu (2016 and 2017 )

Dogo langu mmoja aliferi form six hakipata marks za kwenda chuo kikuu, alienda Monduli teachets collage na kisoma diploma in secondary alihitimu 2019, ameajiriwa na serikali.

Sasa kuna watoto wa ndugu zangu wamesoma degreee za ualimu wa sayansi, mmoja kamaliza 2016 na mwingine 2017, wote wapo kitaa wamepauka hawana ajira. Serikali haitaki kuajiri walimu wa science wa degree, wakati ndo walifahuru vizuri.

Sasa baada ya maisha kuwapiga wenye degree imebidi wadogo zao waliosoma certificate na kuajiriwa serikalini wachukue mkopo na kuwapa kaka zao ili wawe ata machinga.

Kwenye afya hivyo hivyo, serikali kama ni nursing inajaza wenye certificate na diploma, wa degree wanabaki kitaa na kipauka.

Wadogo zangu someni certificate na diploma za elimu na Afya kama unataka kupata haraka ajira za serikali.

NB: serikali ya CCM na Samia haitaki watahalamu wenye shahada.

Ukibisha njoo na data
huo mwandiko daah utakua MEMKWA wewe hadi tittle ya thread umekosea😀😀😀
 
Back
Top Bottom