Fountain Gate Academy ni mfano wa shule za kuchukuliwa hatua

DICXON

Member
Feb 10, 2011
27
11
Hii Shule kwenye matawi yake yote ya Dar na Dodoma wanalazimisha watoto wa darasa la 4 na 7 kuanza masomo saa 12 asubuhi na wanamaliza kusoma saa 11 na nusu jioni. Yaani watoto wadogo wa miaka 7 au 8 wanasoma kwa masaa 11 na nusu kwa siku. Sijui kama kuna maana nyingine zaidi ya kuwanyanyasa watoto.

Hivi kuna hata chuo kikuu mwanafunzi anasoma masaa 11 na nusu kwa siku?

Kibaya zaidi, hakuna option ya school bus kwa watoto wa darasa la 4 na 7, maana wanataka lazima mzazi umlete mtoto shule na urudi kumfuata hiyo jioni. Wanafanya hivyo ili mzazi aone ratiba na gharama ni ngumu na hivyo ni kama wanalazimisha mtoto apelekwe boarding, wana boarding ambayo ada inaongezeka toka Tshs 2.2M kwenda Tshs 4.4M. Yaani kuongeza kipato kwa shule ndio malengo makuu bila kujali usumbufu kwa watoto. Mabweni yao yenyewe wala hayako maeneo ya shule, kama shule ya Dar, shule ipo Tabata Barakuba ila Mabweni yako Kinyerezi.

Mabadiriko ya utaratibu mzazi unaambiwa tayari mtoto akiwa darasa la Nne, yaani wakati anasoma la 1 hakuna sehemu wanasema akifika la 4 hatatumia school bus na atasoma kwa masaa 11 na nusu.

Malalmiko yako mengi toka kwa wazazi na shule ziko nyingi zinazofanya kinyume na maelekezo ya wizara ya Elimu lakini hakuna hatua sheria inachukua, hata ya kuwakemea tu, ipo kimya.

Haya: Ongeza orodha ya shule zingine zenye haya matatizo.
 
Sio hao tu, shule kibao za binafsi naona zimeona hiyo ndio trend kwa sasa, sijui ni miongozo ipi ya wizara husika inayowapa nafasi ya kufanya hivyo!

Yaani shule zimekuwa zikiumiza watoto, ili zenyewe zipaishe majina yao kwa kuwa na ufaulu mzuri wa kulazimisha...

Hivi mtihani wa darasa la 4 kweli ndio wa kusomesha watoto kama wanatafuta ajira NASA!
 
Haya: ongeza orodha ya shule zingine zenye haya matatizo.

Kuna shule ipo Mtwango Njombe inaitwa God Given Primary inalazimisha wazazi kupeleka watoto wa darasa la nne boarding wakati maelezo ya wizara boarding zianze kuanzia watoto wa darasa la tano.
 
Hii Shule kwenye matawi yake yote ya Dar na Dodoma wanalazimisha watoto wa darasa la 4 na 7 kuanza masomo saa 12 asubuhi na wanamaliza kusoma saa 11 na nusu jioni. Yaani watoto wadogo wa miaka 7 au 8 wanasoma kwa masaa 11 na nusu kwa siku. Sijui kama kuna maana nyingine zaidi ya kuwanyanyasa watoto.

Hivi kuna hata chuo kikuu mwanafunzi anasoma masaa 11 na nusu kwa siku?

Kibaya zaidi, hakuna option ya school bus kwa watoto wa darasa la 4 na 7, maana wanataka lazima mzazi umlete mtoto shule na urudi kumfuata hiyo jioni. Wanafanya hivyo ili mzazi aone ratiba na gharama ni ngumu na hivyo ni kama wanalazimisha mtoto apelekwe boarding, wana boarding ambayo ada inaongezeka toka Tshs 2.2M kwenda Tshs 4.4M. Yaani kuongeza kipato kwa shule ndio malengo makuu bila kujali usumbufu kwa watoto. Mabweni yao yenyewe wala hayako maeneo ya shule, kama shule ya Dar, shule ipo Tabata Barakuba ila Mabweni yako Kinyerezi.

Mabadiriko ya utaratibu mzazi unaambiwa tayari mtoto akiwa darasa la Nne, yaani wakati anasoma la 1 hakuna sehemu wanasema akifika la 4 hatatumia school bus na atasoma kwa masaa 11 na nusu.

Malalmiko yako mengi toka kwa wazazi na shule ziko nyingi zinazofanya kinyume na maelekezo ya wizara ya Elimu lakini hakuna hatua sheria inachukua, hata ya kuwakemea tu, ipo kimya.

Haya: ongeza orodha ya shule zingine zenye haya matatizo.
Fuata taratibu za shule huo ndio utaratibu wao na Siri ya mafanikio
 
Tafuta mawasiliano ya Afisa elk.j wilaya mfikishie malalamiko haya kwa kuanzia.

Ama kama una mawasiliano yake nipatie tujaribu kuliweka sawa hili maana unyanyasaji kwa watoto haukubaliki.

Maafisa elimu kuanzia ngazi ya kata hadi mkoa wasikae maofisini tu kuna upumbavu mwingi unafanywa na baadhi ya shule ambao ni kinyume kabisa na miongozo mbalimbali ya elimu.
 
Fuata taratibu za shule huo ndio utaratibu wao na Siri ya mafanikio
Wazazi aina yako ni mzigo kwa Taifa. Aidha una mchango mdogo sana ama huna kabisa kwenye Taifa.

Ni utaratibu, sheria, miongozo ama waraka gani wa elimu unaruhusu mtoto kusoma zaidi ya masaa 11?

Shule inaweza kuwa na utaratibu fulani ila usiovuka sheria,taratibu, kanuni na muongozo. Kufanya jambo nje ya hayo ni uvunjifu wa sheria.
 
Nani aliyekwambia Tz kuna utaratibu na miongozo Kila MTU anafanya anavyojisikia.

Unaona petrol stations zilivyojipanga kama maduka ya nguo huo ndio mwendo killa sehemu
 
Nchi ya kulalamika, acheni watoto wasome, hilo sio jambo baya.
Hii nchi ni legelege ssna.
Fambaf sana
Serikali ilivyoweka muda wa masomo kuanzia saa mbili asubuhi hadi nane na nusu mchana hawakuona umuhimu wa kusoma?

Kama mtoto wako ni kilaza hata asome 24/7 kwa mwaka hawezi kuelewa. Ifike mahali wazazi aina yenu mnao support unyanyasaji wa watoto mfutwe kwenye nchi hii.

Heri kuwa na idadi chache ya watu wenye uelewa wa mambo kuliko kuwa na idadi kubwa ya watu wasio na faida yoyote.
 
Hayo maelekezo ni ya Kayumba skuli ndio maana hao hawaadhibiwi
 
Hii Shule kwenye matawi yake yote ya Dar na Dodoma wanalazimisha watoto wa darasa la 4 na 7 kuanza masomo saa 12 asubuhi na wanamaliza kusoma saa 11 na nusu jioni. Yaani watoto wadogo wa miaka 7 au 8 wanasoma kwa masaa 11 na nusu kwa siku. Sijui kama kuna maana nyingine zaidi ya kuwanyanyasa watoto.

Hivi kuna hata chuo kikuu mwanafunzi anasoma masaa 11 na nusu kwa siku?

Kibaya zaidi, hakuna option ya school bus kwa watoto wa darasa la 4 na 7, maana wanataka lazima mzazi umlete mtoto shule na urudi kumfuata hiyo jioni. Wanafanya hivyo ili mzazi aone ratiba na gharama ni ngumu na hivyo ni kama wanalazimisha mtoto apelekwe boarding, wana boarding ambayo ada inaongezeka toka Tshs 2.2M kwenda Tshs 4.4M. Yaani kuongeza kipato kwa shule ndio malengo makuu bila kujali usumbufu kwa watoto. Mabweni yao yenyewe wala hayako maeneo ya shule, kama shule ya Dar, shule ipo Tabata Barakuba ila Mabweni yako Kinyerezi.

Mabadiriko ya utaratibu mzazi unaambiwa tayari mtoto akiwa darasa la Nne, yaani wakati anasoma la 1 hakuna sehemu wanasema akifika la 4 hatatumia school bus na atasoma kwa masaa 11 na nusu.

Malalmiko yako mengi toka kwa wazazi na shule ziko nyingi zinazofanya kinyume na maelekezo ya wizara ya Elimu lakini hakuna hatua sheria inachukua, hata ya kuwakemea tu, ipo kimya.

Haya: ongeza orodha ya shule zingine zenye haya matatizo.
Huwa kuna vikao vya wazazi je wanawasilishaga hii hoja huko shuleni maana kulalamika kwao pembeni wahusika kufikisha kwenye mamlaka haitasaidia.
Shule ikiwa ya private ukiona kuna vitu haupendezwi navyo unahamisha mtoto wako tu wala haina haja ya kupata stress ulipe ada kwa shida bado usumbuke na vitu vingine shule zipo nyingi sana.
 
Kumbe ndo mnashtuka leo ila hamjachelewa....
Private ndo walivyo.

Nimesoma mnaamshwa saa 9:30 alfajiri kujiandaa morning prepo saa 4:30 kurudi bwenini jioni saa 12
Bado saa 1:00 tunarudi shule prepo ya usiku mpk saa 4 usiku

Kulala ni masaa 4 tu.
 
Hii Shule kwenye matawi yake yote ya Dar na Dodoma wanalazimisha watoto wa darasa la 4 na 7 kuanza masomo saa 12 asubuhi na wanamaliza kusoma saa 11 na nusu jioni. Yaani watoto wadogo wa miaka 7 au 8 wanasoma kwa masaa 11 na nusu kwa siku. Sijui kama kuna maana nyingine zaidi ya kuwanyanyasa watoto.

Hivi kuna hata chuo kikuu mwanafunzi anasoma masaa 11 na nusu kwa siku?

Kibaya zaidi, hakuna option ya school bus kwa watoto wa darasa la 4 na 7, maana wanataka lazima mzazi umlete mtoto shule na urudi kumfuata hiyo jioni. Wanafanya hivyo ili mzazi aone ratiba na gharama ni ngumu na hivyo ni kama wanalazimisha mtoto apelekwe boarding, wana boarding ambayo ada inaongezeka toka Tshs 2.2M kwenda Tshs 4.4M. Yaani kuongeza kipato kwa shule ndio malengo makuu bila kujali usumbufu kwa watoto. Mabweni yao yenyewe wala hayako maeneo ya shule, kama shule ya Dar, shule ipo Tabata Barakuba ila Mabweni yako Kinyerezi.

Mabadiriko ya utaratibu mzazi unaambiwa tayari mtoto akiwa darasa la Nne, yaani wakati anasoma la 1 hakuna sehemu wanasema akifika la 4 hatatumia school bus na atasoma kwa masaa 11 na nusu.

Malalmiko yako mengi toka kwa wazazi na shule ziko nyingi zinazofanya kinyume na maelekezo ya wizara ya Elimu lakini hakuna hatua sheria inachukua, hata ya kuwakemea tu, ipo kimya.

Haya: ongeza orodha ya shule zingine zenye haya matatizo.
Mama hamisha mtoto shule zipo nyingi wasikusumbue hao wajinga
 
Sio hao tu, shule kibao za binafsi naona zimeona hiyo ndio trend kwa sasa, sijui ni miongozo ipi ya wizara husika inayowapa nafasi ya kufanya hivyo!

Yaani shule zimekuwa zikiumiza watoto, ili zenyewe zipaishe majina yao kwa sababu ya ufaulu mzuri wa kulazimisha...

Hivi mtihani wa darasa la 4 kweli ndio wa kusomesha watoto kama wanatafuta ajira NASA!
Duuuuh!!!
 
Hii Shule kwenye matawi yake yote ya Dar na Dodoma wanalazimisha watoto wa darasa la 4 na 7 kuanza masomo saa 12 asubuhi na wanamaliza kusoma saa 11 na nusu jioni. Yaani watoto wadogo wa miaka 7 au 8 wanasoma kwa masaa 11 na nusu kwa siku. Sijui kama kuna maana nyingine zaidi ya kuwanyanyasa watoto.

Hivi kuna hata chuo kikuu mwanafunzi anasoma masaa 11 na nusu kwa siku?

Kibaya zaidi, hakuna option ya school bus kwa watoto wa darasa la 4 na 7, maana wanataka lazima mzazi umlete mtoto shule na urudi kumfuata hiyo jioni. Wanafanya hivyo ili mzazi aone ratiba na gharama ni ngumu na hivyo ni kama wanalazimisha mtoto apelekwe boarding, wana boarding ambayo ada inaongezeka toka Tshs 2.2M kwenda Tshs 4.4M. Yaani kuongeza kipato kwa shule ndio malengo makuu bila kujali usumbufu kwa watoto. Mabweni yao yenyewe wala hayako maeneo ya shule, kama shule ya Dar, shule ipo Tabata Barakuba ila Mabweni yako Kinyerezi.

Mabadiriko ya utaratibu mzazi unaambiwa tayari mtoto akiwa darasa la Nne, yaani wakati anasoma la 1 hakuna sehemu wanasema akifika la 4 hatatumia school bus na atasoma kwa masaa 11 na nusu.

Malalmiko yako mengi toka kwa wazazi na shule ziko nyingi zinazofanya kinyume na maelekezo ya wizara ya Elimu lakini hakuna hatua sheria inachukua, hata ya kuwakemea tu, ipo kimya.

Haya: Ongeza orodha ya shule zingine zenye haya matatizo.
Kwa kuwa ni shule ya private, nasema wazazi ndio wenye shida, wanaihitaji zaidi hiyo shule.

Maana solution ya jambo hilo ni ndogo tu, NI KUMTAFUTIA MWANAO SHULE NYINGINE ili uachane na huo upumbavu
 
Back
Top Bottom