Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari, Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana 2023 katika masomo ya biashara nilikuwa naomba ushauri Kati ya kwenda advance level education au chuo. Nk. Ninamatamanio ya kusomea Uhasibu. Asante.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
"Watoto wetu huku Mbagala kwa Makusudi kabisa wakimuona Mtu tu mwenye Ugonjwa huu wa Macho wa Red Eyes wanaenda Kumshika na hata Kugusisha mikono yao na Macho ya hao Wagonjwa kisha kujigusa katika...
2 Reactions
4 Replies
639 Views
Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasani nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo. Nilikuwa...
43 Reactions
161 Replies
14K Views
NB: Mada husika ipo kwenye paragraph ya pili. Heshima kwa wanajukwaa wote, baada ya salamu naomba niende moja kwa moja kwenye jambo la msingi. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2022 na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jumla ya Wanafunzi waliosajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022 walikuwa 534,753 lakini waliofanya Mtihani huo ni 522,217 ambapo Wasichana walikuwa 280,251 na Wavulana 241,966. Tafsiri...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Wakuu tumsaidie huyu dogo mana nimekosa Cha kumshauri kwa Sasa, Matokeo ya Kidato cha Nne yametoka Huyu binti kapata Division Four ya 30. Civics D Kiswahili D History D Geography D Biology C...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Wizara ya Elimu imekamilisha mtaala Mpya wa Elimu ngazi ya msingi ambapo Watoto wataishia darasa la Sita huku idadi ya masomo ikiongezeka. Pamoja na hayo Mtaala inaonesha masomo ya Lugha...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Wadau mliosoma uwalimu Haswa walimu wa lugha kwa level zote diploma na degree. Kuna yoyote anayekumbuka kujifunza juu ya sera ya lugha ya Tanzania. Katika kozi ulizosoma chuo je kunakozi yoyote...
1 Reactions
0 Replies
563 Views
Dogo ni mvulana na anataka achukue PCB. High school yenye sifa ya kufaulisha vizuri kila mwaka.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma form five na form six. Advanced secondary education is completely a wastage of time and resources. Mjomba wangu alinishauri nilipofika form...
11 Reactions
75 Replies
15K Views
Wakuu, nipeni uzoefu katika hilo tafadhali. Mimi na rafiki yangu tumepanga nyumba ndogo ambayo tunatumia kama madarasa pamoja na ofisi humo humo, sasa tupo katika mchakato wa kujipanua shule bado...
2 Reactions
18 Replies
6K Views
Kati ya kwenda hge hgk au kwenda chuo course ya bussness administration au human resource qu accountancy ipi ni bora zaid naombe msaada
4 Reactions
68 Replies
7K Views
Ni mbaya sana. Yaani semester ya kwanza vyuoni inamalizika lakini watoto wengi wale waliopata mikopo batch ya mwisho hawajapata. Watoto hawa wamekuwa wakiingia na kutoka Ofisi za Maafisa Mikopo...
1 Reactions
5 Replies
805 Views
Nchi yetu imekuwa na nia njema sana ya kuendeleza Vijana katika fani mbalimbali hasa za ufundi na ujasiriamali. Kimsingi vijana wenye uelewa wa somo la hesabu wanaweza kufanya vizuri sana katika...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna wanachuo wameondoka chuoni baada ya kukaa Toka October Hadi January na wengine wanapitia magumu Hadi sasa
1 Reactions
5 Replies
470 Views
Naweza soma kozi gani kama nmesoma CBG advance.
0 Reactions
36 Replies
19K Views
Habari, Natafuta shule au kituo cha bweni kinachotoa elimu/mafunzo saidizi kwa watoto wenye mahitaji maalumu (hasa utindio wa ubongo), kituo/shule hugo iwe kati ya mkoa Morogoro au Dodoma...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba msaada ya kuelekezwa vyuo vinavyotoa masters in IT or any computer science kwa evening class kwa Dar es salaam natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
690 Views
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter mwanafunzi wa mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), nasomea historia na sayansi ya siasa, Namba yangu ya usajili 2021-04-01016. UDSM tunafundishwa kwa namna...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Mtoto wa darasa/Class/Standard 3 anasoma mambo makubwa sana. Kwenye Math... Anasoma namba mpaka 1 million?!!! Class 2 kasoma 100 to 999. Mtoto ambaye ku add namba 3 ni mtihani kwake!! Kwenye...
3 Reactions
10 Replies
718 Views
Back
Top Bottom