Msaada: Vyuo gani ni rahisi kupata admission na tuition fee ni rahisi Canada

Machame Juu

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
1,510
3,332
Wandugu wasalam,

Naomba kuuliza kwa wale waelewa wa mambo ya vyuo nchini Canada.

Ni vyuo gani kwa majina ni rahisi kupata admission for international students hawahitaji IELTS na pia tuition fee ya kudeposit kabla ya admission letter ni ya chini ama rahisi?

Natanguliza shukrani za dhati.

Myahudi Jr II
 
Maisha ya canada yapo juu sana kuzidi hata uk na us,

Fatilia video za wanaijeria ndio wataalam wa mambo haya, Neno wanalotumia kuzamia nchi nyingine ni "JAPA"

Search youtube ama google cheap colleges to japa in canada 2024, utapata tricks kibao.

Changamoto ya wabongo kuzamia nchi nyingine huwa ni lugha kiingereza kinapiga sana chenga inabidi ujue kuongea kama kile unachokisikia kwenye mziki lasivyo hata kuwasiliana itakuwa ngumu, pia wabongo kutokuwa na umoja nchi hizo kunafanya maisha yawe ghali, wenzetu wanakodi nyumba wanaishi hata watu 10 ili kupunguza gharama za maisha na kustick pamoja na watu mnaojuana inasaidia mambo ya ulinzi na kupeana tips za maisha ya huko ugenini,
 
Maisha ya canada yapo juu sana kuzidi hata uk na us,

Fatilia video za wanaijeria ndio wataalam wa mambo haya, Neno wanalotumia kuzamia nchi nyingine ni "JAPA"

Search youtube ama google cheap colleges to japa in canada 2024, utapata tricks kibao.

Changamoto ya wabongo kuzamia nchi nyingine huwa ni lugha na wabongo kutokuwa na umoja nchi hizo licha ya kuwa wachache sana
Asante mkuu kwa maelezo. Je wewe unakifaham chochote?
 
Back
Top Bottom