Ipi nzuri kati ya ufundi magari na ufundi uchomeleaji

southernboy

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
826
1,017
Salaam wakuu.

Naombeni ushauri ni ufundi gani upo vizuri kwenye Kipato kati ya kuwa fundi wa kutengeneza magari upande wa umeme wa magari na uchomeleaji(welding)?.
 
Kwa jobless Uchomeleaji ni mzuri maana hutalala njaa. Ufundi magari unachukua muda kujenga jina na kuaminika, Hadi mtu akuamini akuachie gari lake utengeneze ni Hadi uishi vizuri na mafundi wakongwe ili wakutambulishe
asante mkuu kwa ushauri
 
Ningekuwa mimi Ningejifunza kuchomelea......
Ni rahisi kukua na kuwa na Ofisi yako, tofauti na magari, pia ukiwa mjanja ni maeneo mengi yanahitaji kuchomelea, hata magari yanahitaji moto ( japo huwa wanachomelea wenyewe).

Plumbing ipo vizuri pia, kuna Vijamaa huwa vinatupiga hela kubwa mpaka Unawaambia wazee, kama kazi ya Siku mbili au moja na nusu tu mnachukua almost 600k untaxed. Kwanini wote tusingekuwa Plumbers tu......
 
Kuna dogo anafanya vyote hvyo umeme na Bomba Yuko vzr kwa Kweli kila siku yeye Ni jaz tu anapiga
 
Salaam wakuu.

Naombeni ushauri ni ufundi gani upo vizuri kwenye Kipato kati ya kuwa fundi wa kutengeneza magari upande wa umeme wa magari na uchomeleaji(welding)?.
Chukua umeme wa magari na ubobee.
Uchomeleaji ni mateso kwa kutmia hizi mashine za kimasikini.

Note: kuna mashine za kitajiri utachomelea umevaa suti
 
Back
Top Bottom