Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naweza soma kozi gani kama nmesoma CBG advance.
0 Reactions
36 Replies
19K Views
Habari, Natafuta shule au kituo cha bweni kinachotoa elimu/mafunzo saidizi kwa watoto wenye mahitaji maalumu (hasa utindio wa ubongo), kituo/shule hugo iwe kati ya mkoa Morogoro au Dodoma...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba msaada ya kuelekezwa vyuo vinavyotoa masters in IT or any computer science kwa evening class kwa Dar es salaam natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
690 Views
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter mwanafunzi wa mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), nasomea historia na sayansi ya siasa, Namba yangu ya usajili 2021-04-01016. UDSM tunafundishwa kwa namna...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Mtoto wa darasa/Class/Standard 3 anasoma mambo makubwa sana. Kwenye Math... Anasoma namba mpaka 1 million?!!! Class 2 kasoma 100 to 999. Mtoto ambaye ku add namba 3 ni mtihani kwake!! Kwenye...
3 Reactions
10 Replies
718 Views
Habari za muda huu wana jf mm nmemaliza form 4 mwaka jana na kupata div II.19 Civics C Histry B Geo C Kisw. B Bio C Engl C Comm C B/keep C B/math D Naombeni ushauri wakuu japo kuwa nina interest...
1 Reactions
4 Replies
624 Views
Wakuu, Naombeni ushauri. Nina dogo amemaliza form four, je nimpeleke shule/kozi gani kwa ajili ya future yenye uhakika? Ana division 1 ya 10 NB: uwezo wa kumsomesha chochote popote upo.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
wadau nilikuwa naomba kujua kwa anaye fahamu namna ya kurudia mitihani (private candidate ) inakuwaje? na process zote
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina ndoto ya kusoma nje ya nchi naombeni ushauri kwa wale mliowahi kunufaika na full funded scholarship. Mliwezaje na vitu gani nianze kujiandaa navyo ili niweze kupata na mimi nitimize ndoto...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Job description RBP hosts the world’s largest and richest graduate student startup competition, the Rice Business Plan Competition, with 42 national and international university ventures competing...
0 Reactions
0 Replies
484 Views
Wanajamii naombeni kuuliza, nilisoma mchepuo wa EGM nikamaliza shule Sasa nataka nikaanze masomo ya Udaktari. Je, naweza kwenda tena kusoma advance mchepuo wa PCB ili niweze kwenda udaktari?
2 Reactions
8 Replies
965 Views
Kuna chuo chochote hapa Dar es salaam kinachopekea mwanafunzi mwenye D 3 tu kwaajili ya kuanza certificate ya couses za arts Au business?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Naamini sisi wote humu tumepitia hatua ya kwenda shule kukuza ufahamu na maarifa yetu kwenye maisha. Kwa upande wangu, mimi binafsi nilikuwa nalipenda somo la Hesabu, na...
1 Reactions
2 Replies
375 Views
Dunia ina mengi ambayo yapo kwenye mazingira yetu ya kila siku,ila wengine wanajua wewe haujui. Wewe unajua wengine hawajui, Share unacho kijua tuongeze ujuzi. Karibu.
8 Reactions
76 Replies
6K Views
Leo tarehe 25/01/2024 Baraza la Mitihani Tanzania, litatangaza matokeo ya mtihani Kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana. Matokeo hayo yatatangazwa majira ya Saa 5:00 asubuhi kupitia youtube...
5 Reactions
83 Replies
19K Views
Bonjour Mwezi may ninampango wa kufanya hiyo mitihani ya bodi ya uhasibu, Mwenye pdf material za haya masomo naomba anisaidie , nianze kupiga msuli mapema..
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji kwa darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023 mchana wa leo. Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 NECTA imetangaza...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Ningependa kujua kiundani juu ya kozi hii ya BAF ni kivipi mtu aliesoma anaweza kunufaika na sehemu ambazo mtu anaweza kuajiriwa. Nakaribisha wataalamu kwaajili ya maelekezo.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baraza letu la mitihani pamoja na wadau wa elimu wafanye utafiti wa kina ila kubaini tatizo, kwa nini wanafunzi wanafeli kila mwaka kwenye masomo haya; 1. Basic Mathematica 2. PHYSICS 3...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Shule ambazo mtoto anaenda asubuhi na anarudi jioni saa 11 ama saa 12 jioni sio nzuri kwa future ya mtoto. Mtoto anapaswa atoke shuleni mapema. Ili awe na muda wa kujifunza skills za mtaani Siku...
23 Reactions
57 Replies
3K Views
Back
Top Bottom