1:7:4:2:3+ wanachuo

professional ethics

Senior Member
Dec 24, 2023
108
352
Enyi wana jf elimu ni kazi kama kazi nyingine, kijana anapo hitimu chuo ni haki yake sasa kupata nafasi ya ajira ili elimu yake imlipe kwa kutoa huduma kutokana na alicho somea.

Sasa unakuta kijana yupo chuo kijikatia tamaa kuwa ajira hazipo mara oooh wahitimu ni wengi wapo kwa streets.

Ndugu, tamka positive juu yako kwani ndani yako Kuna uungu, ni Kweli ajira hazipo kwao wanao amini hazipo, lakini sio kwako ndugu yangu.

Don't washed by mob psychology.

Ajira ione rohoni kwani ni haki yapo kuipata maana umeisotea Kitambo under 1:74:2:3+
 
Mtu miaka yote hiyo akili ni kuja kuajiriwa baada ya kumaliza masomo

Halafu baadae anaambiwa ajiajiri 😃 ngumu sana kumbadili akili mtu kama huyu
 
Back
Top Bottom