Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Heshima kwenu wakuu. Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza. Nina mdogo wangu alifanya pepa ya form 4 mwaka jana (2020) lakini matokeo yametoka amepata Division Zero(0) Nawezaje kumsaidia huyu...
3 Reactions
93 Replies
10K Views
Habari Zenu Wakuu? Natumai nyote mko poa humu. Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la chapisho hili. Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Mipango, Level ya Shahada ya Mipango na Usimamizi Miradi...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari Nina mdogo wangu alimaliza 2020 Sasa naona ameonja onja makali ya kitaa anataka nimpeleke Tena shule So Kama unajua kituo kizuri kwa masomo ya sayansi chenye maabara kabisa nitashukuru...
1 Reactions
19 Replies
10K Views
Samahani wadau! Mtu akirudia baadhi ya masomo mtihani wa form four Je, anapata cheti kingine? Au ikoje
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wale wenye watoto waliomaliza kidato Cha NNE 2023 mmejiandaaje kupokea MATOKEO ya watoto wenu hapo kesho saa 5. Na hapa ndo tutaona jinsi wazazi huwa tunachanganyikiwa kuliko watahiniwa. Ebu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari za uzima? Nilikuwa nahitaji kufahamu shule zinafondisha watoto kupiga ala za mziki. Nahitaji kumtoa mwanangu kanisani sababu mwalimu anayemfundisha mda mwingi anakuwa busy...
3 Reactions
11 Replies
697 Views
Naomba Team mnipe hatua zamsingi za kuzingatia ili kujiandikisha kuridia mtihani wa kidato cha nne. (Mhitaji anataka kituo tu, yeye atajisomea online).
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu mtoto majina yake yalikosewa sana kuandikwa kwa usahihi wakati wa usajili darasa la saba, jina Lake na jina la Baba. Hivyo alianza kidato cha kwanza kwa majina hayo hayo licha ya kupambana...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Salaam Wana jamvi, samahani Naomba kuuliza university of Dar es salaam wao hawana intake ya march kwa upande wa masters?
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari njema! Hospitali nchini China hutibu saratani kwa kugandisha uvimbe na kisha kuuondoa bila kutumia chemotherapy: Hospitali maalumu kwa ajili ya kutibu aina zote za uvimbe hasa saratani...
0 Reactions
0 Replies
294 Views
Habari watu wote wa hili jukwaa la elimu. Leo kuna mtoto wa kaka angu amekuja na hii chemsha bongo na kusema ukweli naona kuna kila dalili ya mimi kuchemsha. Iko hivi" Nguo dukani inauzwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Msaada wakubwa Ni kozi gani bora kwa sas kusomea apa tanzania ambayo haitokufanya huaso mtaani ukishasoma na pia inaweza ikawa na opportunity ya kuajiriwa na kujiari.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Shule ya msingi Kitanda ni shule ambayo ipo katika kata ya Kitanda halmshauri ya Mbinga mji ,ni shule ambayo ipo kilometer 15 kutoka makao makuu ya halmshauri ya Mbinga mji na makao makuu ya...
0 Reactions
2 Replies
953 Views
Kichwa cha habarii chajieleze natafuta chuo cha veta kizuri jijini mwanza Ambacho kinatoa kozi ya ufundi umeme wa manyumbani pia umeme wa magarii Pia ambacho vyumba vya kupanga sio bei ghalii na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa muumini wa muddy physics, pamoja na kuwa jamaa hakuwa na exercise nyingi na kusolve maswali kama Mgote ila jamaa alikuwa na uelewa mkubwa sana na physics. Mgote yeye amekariri tu na...
16 Reactions
128 Replies
15K Views
Wale tuliopitia uzumbeni tusikose graduation ya wadogo zetu form 6 itakayo fanyika mwezi wa 4. Binafsi nilikuwa na ishi mkwawa01 village nikiwa a-level. Pia pongezi kwa ex-mzumbe kwaajili ya...
4 Reactions
150 Replies
18K Views
Najua humu kuna watu wanafanya tafiti au kuandika machapisho mbalimbali, iwe ni sehemu ya kazi au kitaaluma n.k. Inawezekana labda nyaraka zako unaziifadhi kwa pdf, na ungependa kuzifanyia...
2 Reactions
14 Replies
968 Views
Nimeongeza kaelimu hapa, naomba utaratibu au format kabisa ya kuandika barua wilayani kwa ajili ya nyongeza ya mshahara! Kwa anayejua anisaidie
0 Reactions
12 Replies
15K Views
Mapendekezo yamesambaa kila kona. Ni mpuuz pekee atasapoti kufuta somo la uraia na general studies Kuona mwalimu mwenye degree anajua kuliko mwenye diploma katika level za sekondari ni mjinga...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
nimeleta hii mada tuwa tafakari hawa vijana wamalizapo chuo au kama wamemaliza chuo mda zaidi ya miaka miwili na zaidi ujiona kila kitu kwao wapo zaidi ya walio mtaani kimaisha. maana hayashauriki
1 Reactions
8 Replies
748 Views
Back
Top Bottom