Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JESHI LA POLISI TANZANIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014, KIDATO CHA NNE MWAKA 2014 NA JKT MWAKA 2015 WALIOCHAGULIWA...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari! Naomba kwa anayejua kuhusu hawa Belgian embassy kama wanafadhili wanafunzi wa elimu ya juu,na utaratibu wao kwa ujumla.Asanteni sana!
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tafadhali mwenye idea, kwa level 4 Please
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya wadau mpitie na muombe hii inahusu kilimo katika maeneo yenye udongo wenye asili ya chumvi, pia kilimo kwa kutumia maji ya chumvi (saline water). Kawaida huwa wanatoa scholarships kwa ajili...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Somo lililopita tuliishia kwenye background of the study na statement of the problems, leo tunaendelea kwenye significance of the study mpaka kwenye scope of the study. Background of the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nime-apply vyuo vya afya vya serikali na. Kwny account yangu ya nacte kwenye capacity ilikua ni 25 according to vyuo nilivyo apply.... Sasa baada ya muda flan kupita naona kulee kwenye...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani heslb wametoa majina 2649 ya watu waliokosea mambo mbalimbali katika kujaza fomu haya ni: -kukosekana picha ya mdhamini -kukosekana sahihi ya mwanafunzi -kukosekana sahihi ya wakili au...
5 Reactions
266 Replies
166K Views
Wakuu,heshima kwenu.. Nina wiki sasa najaribu kufanya malipo TCU ili nifanye application thru CAS,lakini kila mara napata ujumbe huu: Samahani,tuna tatizo la kiufundi kwa sasa.Tafathali jaribu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau salamu! Mimi ni mwl.nikiwa na mwaka wa tatu kazini sasa, mwaka jana shule ilipata mkuu wa shule mpya na hapo akanitoa kutoka ualimu wa taaluma alionikuta nao hadi umakamu mkuu wa shule...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
naomba mnijulishe vyuo vinavyotoa kozi ya mhudumu wa afya ngazi ya jamii vya dsm je ni kweli lazima ukae hostel kwa kozi hii naomba msaada wenu
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Habarini wanaJF Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu juu ya hivi vyuo ambavyo viko chini ya Livestock training agency(lita) fani zinavyotolewa na upatikanaji ajira na changamoto zake pia SIKU...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nasikia tu kuwa Rais Kikwete alisema huko Arusha, uhakika unahitajika kwa mwenye taarifa sahihi!
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Mie ni mtumishi niliyepata kibali cha uhamisho wa kubadilishana ila ofisi ya utumishi hawataki kutufungia datasheet (TAARIFA ZA UTUMISHI) ili niweze /tuweze kwenda kituo kipya hadi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu baada ya kuona matokeo ya F4 nimeammua kuanzisha chuo cha Sarakasi na tayari masomo yameanza tangu jana. Tumeni maombi yenu haraka kwa njia ya PM. Ada kidogo sana ( 5,000/= kwa mwezi kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WAKUu UDOM WAMETANGAZA NAFASI MBALIMBALI ZIKIWEMO ZA TUTORIAL ASSISTANT, KWA GRADUATES WALIOMALIZA MWAKA HUU AMBAO KARIBIA WOTE HAWANA TRANSCRIPTS, WANAWEZA KUAPPLY IKIWA WAMEKIDHI VIGEZO VYA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tuta kuwa tukikumbushana vipengele vinavyo hitajika katika kufanya research yako ili uweze hitimu elimu yako. NOTE: Research guidelines za vyuo huwa zina tofautiana kuna baadhi ya vipengele...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari ndugu, Najaribu kumfanya application ya chuo kupitia TCU, nmeshalipia 50,000 kwa tigo pesa na wanenitumia transaction ID tayari. Tatizo nalokutanalo nikiingia kujisajili TCU wanadai...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za mchana ndugu zangu. Mimi ni Mwalimu niliemaliza chuo mwaka 2012. Nilipangwa Kazi Rungwe na sikwenda kuripoti kabisa kituo changu cha Kazi. Nilipata matatizo ya kifamilia. Mwaka Jana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa anaefaham anisaidie Mimi ni muhitimu wa chuo kimoja wapo hapa Tanzania lakini malengo yangu ni kusoma masters nje ya nchi napenda kujua ni jinsi gani naweza kupata chuo UK/USA pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa walimu waliopata ajira mpya wilaya ya hai kilimanjaro 2015 + hata wale waliopo toka muda , naomba tuwasiliane mana nami nimepangwa huko ila nimekumbwa na matatizo hivyo nazan naweza pata...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Back
Top Bottom