Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kama kichwa kinavyojieleya hapo juu, nahitaji msaada kwa yeyote mwenye kujua kuhusu swala la uhamisho kwa mwanafunzi wa kidato cha sita kwa shule za serikali. Kuna ndugu yangu mwanae alipangiwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wadau wote wa jukwaa hili. Napenda kufahamu ukimaliza kozi ya Ukaguzi level ya Diploma waweza kuwa Mkaguzi wilaya au unarudi kufundisha tena? Naomba kuelimishwa.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
naomba kujua kama kuna uwezekano wa kujua km barua yangu imefika bodi ya mikopo au haijafika
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nataka nijue wana tumia sifa gani ili u qualify kujiunga na Diploma??? Msaada wenu jamani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima kwenu wandugu. Naomba kuuliza jambo moja,hivi inawezekana kuunganisha matokeo ya NECTA ya form 6 ya kikao kimoja na kikao kingine ili kuqualify kuapply nafasi ya masomo let say diploma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu. sanahani nilikuwa naomba ufafanuzi wa gharama ya kufanya mtihani wa QT kwa kidato cha pili , cha nne. na UFAULU wake kwa ujumla kwenye level hizo. Ahsante
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu…. Nina umri wa miaka 24 na ninategemea kufanya mtihani wa kuhitimu diploma in clinical medicine[clinical officer] ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa. Ninafahamu kwamba kozi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa kuna utofauti kati ya TA (Tutorial Assistant) na lecturer mwenye idea please
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna mpwa wangu aliishia darasa la tatu na hivi sasa anaumri wa miaka 25, baba yake alifariki muda mrefu akawa anaishi na ***** ambaye pia alikuwa mlevi sana...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mbona Tanzania wanafunzi wa shule za umma wasianze kusoma kiingereza wangali wachanga ili kucompete na watoto wa shule za kibinafsi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF, Mimi ni mwaanafunzi wa mwak wa kwanza wa Shahada ya Ualimu, sijapata mkopo kupitia HESLB kutokana kutokukidhi baadhi ya vigezo. Naomba kwa yeyote anae fahamu taasisi nyingine...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wana jf najua humu kuna watu ambao wanaweza kunipatia majibu kwa maswali yangu. Hivi ni vigezo gani vilivyotumika kuifanya MIST kuwa university, maana naona elimu inayotolewa na vyuo vya...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
unaweza kuapply degree wakat una supp jamani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo nimesafiri kutoka Dar kwenda Mkuranga, gari niliyo panda dereva ameniomba nitangaze kuwa kuna mtu amesahau vyeti vyake kwenye gari hiace. Huyu mtu nimesoma jina lake anaitwa MATILDA BUBERWA...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ndugu wanaJamiiForum habari zenu za mchana, ningependa kupata kujua kuhusu mabadiliko ya ada kwa vyuo vya serikali baada ya wanavyuo hao kuambiwa wajitegemee chakula wajuzi tuhabarisheni
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakubwa zangu shikamooni na wadogo zangu habarini za leo? Naombeni ushauri wa kimawazo. Kwakifupi, ninaishi na mama yangu tu, tukiwa na baba wa kufikia. Baba yangu mzazi alifariki kitambo, toka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau baadhi ya vyuo vimekua njia mbanda hadi leo kutokana na kukosa taarifa sahihi kuhusu pesa za field imefika hatua tunaishi kwa tabu huku field bila kujua lini haswa pesa zitatoka ukizingatia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tatizo la waalimu ni usawa katika mishahara.Daktari akilipwa milion moja mwalimu nae alipwe milion moja, posho apokee, siyo kumpa laptop.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom