Kuhusu UDOM academic vacancies

Kuhusu UDOM academic vacancies

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,643
Reaction score
4,186
WAKUu UDOM WAMETANGAZA NAFASI MBALIMBALI ZIKIWEMO ZA TUTORIAL ASSISTANT,

KWA GRADUATES WALIOMALIZA MWAKA HUU AMBAO KARIBIA WOTE HAWANA TRANSCRIPTS,
WANAWEZA KUAPPLY IKIWA WAMEKIDHI VIGEZO VYA G.P.A AU NDO WASUBIRI MPAKA MWAKANI (KUTOKANA NA KUTOKUWA NA TRANSCRIPTS)?
 
jipange andika vizuri ueleweke

mkuu ishu ni kwamba,
miongoni mwa masharti yaliyowekwa ni kwamba vinatakiwa vyeti original na transcripts,

sasa kwa watu waliomaliza mwaka huu hawana transcripts mpaka sasa,
je wanaweza kuwa considered wakiapply kwa kutumia nyaraka za matokeo yao kwa kuwa hawana transcripts?
 
Hizo ni kwa ajili ya graduate wa miaka ya nyuma zenu zitakuja mwakani baada ya kuvaa joho
 
WAKUu UDOM WAMETANGAZA NAFASI MBALIMBALI ZIKIWEMO ZA TUTORIAL ASSISTANT,

KWA GRADUATES WALIOMALIZA MWAKA HUU AMBAO KARIBIA WOTE HAWANA TRANSCRIPTS,
WANAWEZA KUAPPLY IKIWA WAMEKIDHI VIGEZO VYA G.P.A AU NDO WASUBIRI MPAKA MWAKANI (KUTOKANA NA KUTOKUWA NA TRANSCRIPTS)?

Kwani nyie mshagraduate?
 
Back
Top Bottom