Jinsi ya kutumia Tigo pesa code kujisajili TCU

Jinsi ya kutumia Tigo pesa code kujisajili TCU

stricker

Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
18
Reaction score
1
Habari ndugu,

Najaribu kumfanya application ya chuo kupitia TCU, nmeshalipia 50,000 kwa tigo pesa na wanenitumia transaction ID tayari. Tatizo nalokutanalo nikiingia kujisajili TCU wanadai transaction ID ya M-pesa hakuna option ya tigo pesa kwenye registration process,tafadhali mwenye kujua naomba kuelekezwa kama kuna link nyingine ya kujisajili.
 
hamna link nyingine ishu ya tcu tofaut na loan board coz loan walikua wanatumia transaction ID ya mtandao bt kwa tcu mpaka usubr
 
mpaka Tcu wakutumie code kwa washakutumia

kuna msg nmetumiwa na TCU,hii hapa chini. .

BP150817.2230.J06553, Confirmed 50000.0 received payment for University Admission. Your Voucher Number is RBQEMAUL.
Powered by MaxMalipo
 
kuna msg nmetumiwa na TCU,hii hapa chini. .

BP150817.2230.J06553, Confirmed 50000.0 received payment for University Admission. Your Voucher Number is RBQEMAUL.
Powered by MaxMalipo
Utawekaje voucher number hapa utaibiwa ww
 
kuna msg nmetumiwa na TCU,hii hapa chini. .

BP150817.2230.J06553, Confirmed 50000.0 received payment for University Admission. Your Voucher Number is RBQEMAUL.
Powered by MaxMalipo

Hiyo voucher Number ni siri yako haukutakiwa kumuonyesha mtu wala kuiweka humu kwa sababu mtu yoyote anaweza kuitumia,inabidi uitumie haraka kabla hajaitumia mtu mwingine,
 
Back
Top Bottom